Prostate cancer & Dr.'s?

Katabazi

JF-Expert Member
Feb 18, 2007
353
19
Wana JF,
Naomba kuuliza dalili za za kuwa na prostate cancer?
Je kwa DSM ni wapi naweza kupata ushauri mzuri kuhusu prosate cancer na labda Tiba?
Na la mwisho naomba kujua kama kuna mwana JF anayejua ma daktari bingwa wazuri kwa tiba hiyo bila kujali gharama kwa hapa Tanzania,
Natanguliza shukurani,
Katabazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom