prosperity

prosperity

na nimefika mahali pia nikajiuliza why such classes??
je tunatumia hewa tofauti na matajiri?? siku hizi hata kwenye misiba ikiwa ni wa tajiri utaona hata style ya watu watakao shiriki na kupewa maua wapambe kaburi. kasheshe sasa ni kama ulikuwa tajiri halafu ukaporomoka yaani hata wazazi na ndugu zako watakuacha ufe kibudu.
ubinaadamu kazi dada yangu... duniani hapa inapendwa pesa, sio utu
 
pesa htumika kama kipimo cha success na unapata marafiki wanaku-admire (real) na wale wanaotaka freebies (wanafiki). more successful ppl get more attention/friends and its a natural process. kuhusu wazazi kubagua watoto iko financial dependency zaidi; its better kuwa karibu na tajiri coz anaweza kukusaidia uzeeni. pia watu wengi successful hawapendi kukosoloewa na hutumia $$ as a way to get what they want hasa kwenye masuala ya ukoo soo utakuta mzazni hana jinsi

but Blaine hebu fikiri mmezalliwa watoto 4, kati ya hao mmoja ni maskini anapata riziki kwa kuganga sana. huyu maskini akaoa mke kama ilivyo ada bahati mbaya akapata mtoto na huyu mtoto asidumu akafa. Mama mzazi na nyie ndugu wengne kwenye msiba wa mtoto wa kaka yenu manaenda kama watu baki tu. ila mwenzenu akaona kawaida tu wala hakujali.

siku 3 baadae kaka tajiri anafanya bday ya mwanae ya kifahari mama anashiriki kana kwamba nafasi ya bibi ionekane kweli. Mungu mambo yake bana ni magumu sana mnakaa baada ya muda huyu kaka yenu maskini mke anaugua sana anafariki, stil mama wala nyie ndugu wengine hamwoni kama mwenzenu anapita pagumu.
kweli kwanini mtu afanyiwe hivi kisa pesa??
 
Last edited by a moderator:
Pesa sabuni ya roho.Binadamu tupo hivi,tunapenda vilivyokusanywa kuliko vilivyo tapanywa.

kama ndivyo basi ni bora mtu ukabaki kujikusanya na familia yako tu manake hao unaowashbisha siku ukiwa na njaa hawatakujua.
 
Wengi wao huota mafanikio kupitia wewe! Wanachofata siyo kwamba wanakupenda, ila wanafata mafanikio yako. Wanaamini kuwa kupitia wewe watatoka, na wanakuwa na ambitions juu yako kuwa utawatoa.

"Binadamu mbele ya pesa ni sawa na mbwa mbele ya chatu".
 
hivi kwann pale mtu anapokuwa yuko prosperous huwa idadi ya watu walioko nyuma yake inakuwa kubwa sana. Yaani utakuta marafiki, ndugu, wafanyakazi wake wapo karibu nae sana sana......................................because he/she have what they need, kwa lugha nyingine he/she is a good part of their solution to their problems, wanamdepent yaani wanamtegemea katika utatauzi wa shida zao!!!!

ila sasa mtu huyu huyu akipatwa na majanga halafu mafanikio yake yakaanza kudrop basi watu wote hundoka nyuma yake.utakuta kama ni ndugu wanaanza kumtenga, marafiki wanamkimbia watumish nao hivyo hivyo je hii husababishwa na nini??.....................................because he/she lost what they need, so s/he can longer deal with their problems kwa hio sasa wanamwona yeye km tatizo na sio solution km ilivyokuwa hapo mwanzo angali akiwa prosperous

tena kuna wakati yule mtu mwenye mafanikio hata kama ni mchoyo, mringi bado watu watajikomba kwake tuuuuuu......................................as long as anazo they believe one day yes, mtaani kwetu tunasema atabana sana ila ipo siku ataaachia tu, so they stay with her/him by hope; ndio maana wataalam wa fedha(km fedha ni kipimo cha mafanikio) wanakwambia lend what you can afford to loose, because if you lend what you can't afford to loose then you will loose yourself, yaani unajipoteza mwenyewe

A human being is a composition of a problem and a solution!!!!!
 
Wengi wao huota mafanikio kupitia wewe! Wanachofata siyo kwamba wanakupenda, ila wanafata mafanikio yako. Wanaamini kuwa kupitia wewe watatoka, na wanakuwa na ambitions juu yako kuwa utawatoa.

"Binadamu mbele ya pesa ni sawa na mbwa mbele ya chatu".


Well said...simple and precise!!!!
 
hivi kwann pale mtu anapokuwa yuko prosperous huwa idadi ya watu walioko nyuma yake inakuwa kubwa sana. Yaani utakuta marafiki, ndugu, wafanyakazi wake wapo karibu nae sana sana. ila sasa mtu huyu huyu akipatwa na majanga halafu mafanikio yake yakaanza kudrop basi watu wote hundoka nyuma yake.utakuta kama ni ndugu wanaanza kumtenga, marafiki wanamkimbia watumish nao hivyo hivyo je hii husababishwa na nini??

tena kuna wakati yule mtu mwenye mafanikio hata kama ni mchoyo, mringi bado watu watajikomba kwake tuuuuuu.

mumiiii gfsonwin so hard to deal with people...........never try at home, at school, at jf, at fb, or anywhere!!!!
 
Last edited by a moderator:
but Blaine hebu fikiri mmezalliwa watoto 4, kati ya hao mmoja ni maskini anapata riziki kwa kuganga sana. huyu maskini akaoa mke kama ilivyo ada bahati mbaya akapata mtoto na huyu mtoto asidumu akafa. Mama mzazi na nyie ndugu wengne kwenye msiba wa mtoto wa kaka yenu manaenda kama watu baki tu. ila mwenzenu akaona kawaida tu wala hakujali.

siku 3 baadae kaka tajiri anafanya bday ya mwanae ya kifahari mama anashiriki kana kwamba nafasi ya bibi ionekane kweli. Mungu mambo yake bana ni magumu sana mnakaa baada ya muda huyu kaka yenu maskini mke anaugua sana anafariki, stil mama wala nyie ndugu wengine hamwoni kama mwenzenu anapita pagumu.
kweli kwanini mtu afanyiwe hivi kisa pesa??
mhh! maji yamezidi unga. labda kuna sababu zingine hapo
 
Back
Top Bottom