toa kwanza misaada ya kibinadamu,Sisi wenyeji toka Mbulu tunakusudia kuanzisha Chuo Kikuu cha Kimataifa kumbukumbu ya Chief Sarwat hapa mji mdogo wa Dongobesh njia ya kuelekea Bashnet.
Kozi zitakazotolewa;
Bsc. Flood Control,
Bsc. Animal Husbandry,
BA Social work.
Serikali inayokusanya kodi imepeleka nini?toa kwanza misaada ya kibinadamu,