Proposal Writer -Jobs

Proposal Writer -Jobs

Dogo weka kazi yako hapa tuone ubora, amesema kazi yako ilikua chini ya kiwango sasa weka hapa tuanzie kujadili hapo. Mimi pia ni nguli wa masuala ya Proposals.
Kama ni ww ni nguli wa proposal fursa hiyo mkuu, omba!
 
Acha ujinga dogo! Lete kazi yako hapa tuone kama kweli unajua hata kuandika hizo proposals. Hata kama ningekua mimi, kama unaandika UTUMBO nitaanzaje kukulipa?

Kazi za proposals zina changamoto nyingi, trust me, ni lazima iandikwe kiutaalam haswa na na sio kama unaandika BARUA TU. Hebu lete hata kazi yako moja tuone basi. Acha wivu wa kishamba dogo!
Tufanye kashindwa kuleta. Haya mkuu, ebu tuwekee yako ww nguli sisi wengine hatujui chochotr kuhusu proposal, weka tujifunze baba.
 
Back
Top Bottom