IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 802
Ila kwa uzoefu wangu ktk kuandaa Write-ups kwa miaka 10 sasa, zipo proposals zilizokuwa nje ya vigezo vya donors (sio chini ya kiwango), na Zipo ambazo zilikuwa detailed and inclusive lakini bado ziliposhindanishwa zilifeli kupita... Sababu ya uwingi wa applicants.... So inawezekana mtu akakupa kazi hii akitegemea funds za kushindaniwa.. No matter how strong it is, inaweza isipite, ndipo mteja anakwambia sikulipi ilikuwa chini ya kiwango.... Lakini proposals zina malengo mengi, zingine ni kuvutia wabia ktk mradi, kushawishi taasisi ifanye mradi, kuomba Mabadiriko fulani, kusaidia kumanage mradi husika (guiding tool) nk. Hivyo kabla hujakubali kuandika jiuluze lengo la hiyo proposal... Wengi wanatumia kumobilise external funds..ambako kuna ushindani mkubwa.. Hivyo muandaaji jikite kujua kwanza malengo ya mfadhili, vigezo vya upimaji proposal husika... Ndipo uandike... Usikukurupuke kuandaa ilimradi umepewa na mteja uandae, be inquisitive kwa habari ya donor's criteria to fund.. Sababu wengine wana format zao kwa mradi husika.. Wewe ukang'ang'ania format ya kawaida, Proposal itafeli.
Afterall proposals zipo ambazo ni simple na complex kufatana na nature ya mradi.. Hivyo hata proposals zinakuwa simple au complex.
Ni hayo kidogo niyajuayo
Afterall proposals zipo ambazo ni simple na complex kufatana na nature ya mradi.. Hivyo hata proposals zinakuwa simple au complex.
Ni hayo kidogo niyajuayo