Proposal Writer -Jobs

Proposal Writer -Jobs

MTGS LTD

Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
22
Reaction score
5
URGENTLY NEEDED - ANAHITAJIKA HARAKA!!

RE ADVERTISED

Proposal Writer - Full Time /Part-time Employee

Job Responsibilities:

Prepares proposals by determining concept; gathering and formatting information; writing drafts; obtaining approvals.

Proposal Writer Job Duties:

  • Determines proposal concept by identifying and clarifying opportunities and needs; studying requests for proposal (RFPs).
  • Meets proposal deadline by establishing priorities and target dates for information gathering, writing, review, and approval; entering and monitoring tracking data; coordinating requirements with contributors; contributing proposal status information to review meetings; transmitting proposals.
  • Gathers proposal information by identifying sources of information; coordinating submissions and collections; identifying and communicating risks associated with proposals.
  • Develops proposal by assembling information including project nature, objectives/outcomes/deliverables, implementation, methods, timetable, staffing, budget, standards of performance, and evaluation; writing, revising, and editing drafts including executive summaries, conclusions, and organization credentials.
  • Maintains quality results by using templates; following proposal-writing standards including readability, consistency, and tone.
  • Obtains approvals by reviewing proposal with key providers and Project Managers.
  • Improves proposal-writing results by evaluating and re-designing processes, approach, coordination, and boilerplate; implementing changes.
  • Accomplishes organization goals by accepting ownership for accomplishing new and different requests; exploring opportunities to add value to job accomplishments.
Proposal Writer Skills and Qualifications:

Presentation Skills, Written Communication, Graphic Design Skills, Technical Documentation, Layout Skills, Problem Solving, Deadline-Oriented, Process Improvement, Coordination, Strategic Planning, Market Knowledge.

How to Apply:

Mail your CV and application letter together with copies of your relevant certificates, one coloured passport size, with three referees, via mihambosplc@gmail.com

Managing Director
MTGS Limited,
P.O.Box 4127,
Nyegezi, Kuzenza Street,
Mwanza, Tanzania
.

Deadline: JUNE 12th, 2018

NOTE: Only short-listed applicants will be notified

“We Deliver What Others are Promising”
 
Anahitajika haraka, mtu mwenye ujuzi na maarifa ya kuandika Proposal
Wewe siyo MTU mzuri kabisa. Unawafanyisha watu kazi,ikifika mwisho Wa mwezi unawanyima watu mishahara yao kwa visingizio visivyoeleweka wakati MTU anapoteza muda wake Na bando zake mwezi mzima. Inaelekea umewazurumu watu wangi sana kwa utaratibu huo. Unawafanyisha watu kazi ukifika mwisho Wa mwezi hauwalipi alafu unatangaza tena nafasi za kazi. Mungu hapendi.
 
Mkuu embu elezea vizur tabia ya huyu mtu ili utusaidie na wengine wenye njaa ya kazi!
 
Wewe siyo MTU mzuri kabisa. Unawafanyisha watu kazi,ikifika mwisho Wa mwezi unawanyima watu mishahara yao kwa visingizio visivyoeleweka wakati MTU anapoteza muda wake Na bando zake mwezi mzima. Inaelekea umewazurumu watu wangi sana kwa utaratibu huo. Unawafanyisha watu kazi ukifika mwisho Wa mwezi hauwalipi alafu unatangaza tena nafasi za kazi. Mungu hapendi.

Rafiki, acha kutuchafua bwana. Kama umeandika Proposal "dhaifu" isiyo na tija, italipwaje? Ikumbukwe sio kila mtu anaweza kuandika hiyo proposal, ni Taaluma hiyo, ndio maana tupo hapa kusaka Wenye weredi na mambo hayo!
 
Jamani uandishi wa Proposal ni Taaluma, sio jambo la kudhani mtu yeyote tu anaweza kufanya hivyo. Asante.
 
watakao apply hii kazi na ikigundulika waliona tangazo kupitia JF basi niwaeleze tuu kuwa wameshaandaliwa makazi kule aliko BEN RABIU SAA8. Hawa watu wa TISS ni wajanja sana wanatafuta njia nyingi sana za kuwadaka members wetu ikiwa ni pamoja na kutoa nafasi za kazi na kueka threads mbalimbali zenye downloadable attachments ukizipakua tuu basi wanakuwa wamesha ku trace wewe ni kusubiri kiama tuu.TISS sio watu wazuri jamani jihadharini na hawa watu.MWAFAAAAAAAA.
 
Jamani uandishi wa Proposal ni Taaluma, sio jambo la kudhani mtu yeyote tu anaweza kufanya hivyo. Asante.
No kweli uandishi Wa proposal ni taaluma ndiyo maana ukaingia mkataba Na sisi kufanya kazi(tulikuwa watatu) Na tuliifanya kazi yako kiuadilifu Na kitaaluma kabisa. Hukuwahi kunilalamikia kuhusu uwezo wangu,ulikuwa unatuma kazi nafanya,cha kushangaza unafika mwisho Wa mwezi hutoi mshahara unatoa visingizio vingine kabisa(siyo vya kitaluma.). Alafu Leo unakuja hapa eti unatafuta watu Wa kukufanyia kazi.anyway mwenye kujalibu hiyo kazi ajaribu kuomba labda jamaa atakuwa amebadilika, lakini Mimi siwezi. Tuliingia mkataba kabisa Wa kimaandishi Na ushahidi Wa kazi nilizokua nakutumia through email address ninao,nilikuwa nauwezo kabisa Wa kukushitaki, lakini nimeamua kumuachia Mungu.
 
Kama ni kweli wewe jamaa hukufanya fair angalau basi ungewapoza kidogo kulingana na hali ya uchumi ilivyo na si kuwatolea nje kabisa moja kwa moja ata mungu hapendi ndugu yangu
 
Mimi nina hizi skills, ila sihitaji kuajiliwa, natafuta mwenyewe, naandika mambo yanaenda
 
Kazi ya kuwaandikia watu Proposals ina changamoto nyingi Sana... Mathalani unamkabidhi mtu proposal yake badae analeta sababu nyingiiii eti haikuwa na kiwango nk nk... Niliwaandikia watu fulani aisee nimejipinda mwenyewe, kwenye malipo wananambia watu wao (wafadhili wamekataa) ,haaaah nikaishia hivyo...
 
No kweli uandishi Wa proposal ni taaluma ndiyo maana ukaingia mkataba Na sisi kufanya kazi(tulikuwa watatu) Na tuliifanya kazi yako kiuadilifu Na kitaaluma kabisa. Hukuwahi kunilalamikia kuhusu uwezo wangu,ulikuwa unatuma kazi nafanya,cha kushangaza unafika mwisho Wa mwezi hutoi mshahara unatoa visingizio vingine kabisa(siyo vya kitaluma.). Alafu Leo unakuja hapa eti unatafuta watu Wa kukufanyia kazi.anyway mwenye kujalibu hiyo kazi ajaribu kuomba labda jamaa atakuwa amebadilika, lakini Mimi siwezi. Tuliingia mkataba kabisa Wa kimaandishi Na ushahidi Wa kazi nilizokua nakutumia through email address ninao,nilikuwa nauwezo kabisa Wa kukushitaki, lakini nimeamua kumuachia Mungu.

Dogo weka kazi yako hapa tuone ubora, amesema kazi yako ilikua chini ya kiwango sasa weka hapa tuanzie kujadili hapo. Mimi pia ni nguli wa masuala ya Proposals.
 
Kazi ya kuwaandikia watu Proposals ina changamoto nyingi Sana... Mathalani unamkabidhi mtu proposal yake badae analeta sababu nyingiiii eti haikuwa na kiwango nk nk... Niliwaandikia watu fulani aisee nimejipinda mwenyewe, kwenye malipo wananambia watu wao (wafadhili wamekataa) ,haaaah nikaishia hivyo...

Proposals zina changamoto sana! Lakini kuna vitu vya msingi sisi wataalam tusipoviona kwenye proposal yako, kwa kweli utakua unapoteza muda tu.
 
Kama ni kweli wewe jamaa hukufanya fair angalau basi ungewapoza kidogo kulingana na hali ya uchumi ilivyo na si kuwatolea nje kabisa moja kwa moja ata mungu hapendi ndugu yangu
Msisitetee upumbavu, kwa kawaida Taasisi inapohitaji kuandikiwa proposal inakua na makubaliano fulani na Mfadhili au imepokea wito huo.
Sasa muandishi mzuri wa proposals ni lazima azingatie masuala mbalimbali ya kitaalam katika andiko lake ili mwisho wa siku kazi ikubalike kwa Mfadhili husika.
Nijuavyo, Vijana wengi wa Kitanzania hawajui kuandika proposals, wana andika kwa KURIPUA TU. Nadhani wame athirika na kuandika MASHAIRI YA BONGO FLEVA wakiwa Vyuoni.

Mimi sitetei ujinga na uonevu wowote, ila Kijana ALETE KAZI YAKE MOJA HAPA, ambayo anahisi aliiandika kwa UBORA WA HALI YA JUU MNO.. Ili tuanzie hapo kwanza, kabla ya kulaumu upande wa pili ambao HAUPO HAPA (umekula BAN)

Vijana msichukulie kila kitu kama unaweza kufanya tu, mambo mengine ni TAALUMA tena ya Watu wachache sana kama sisi.
 
Sema hivi hujui propasal ilivyo au unataka upewe ya wenzie ucopy na kupaste.
 
Dogo weka kazi yako hapa tuone ubora, amesema kazi yako ilikua chini ya kiwango sasa weka hapa tuanzie kujadili hapo. Mimi pia ni nguli wa masuala ya Proposals.
Msisitetee upumbavu, kwa kawaida Taasisi inapohitaji kuandikiwa proposal inakua na makubaliano fulani na Mfadhili au imepokea wito huo.
Sasa muandishi mzuri wa proposals ni lazima azingatie masuala mbalimbali ya kitaalam katika andiko lake ili mwisho wa siku kazi ikubalike kwa Mfadhili husika.
Nijuavyo, Vijana wengi wa Kitanzania hawajui kuandika proposals, wana andika kwa KURIPUA TU. Nadhani wame athirika na kuandika MASHAIRI YA BONGO FLEVA wakiwa Vyuoni.

Mimi sitetei ujinga na uonevu wowote, ila Kijana ALETE KAZI YAKE MOJA HAPA, ambayo anahisi aliiandika kwa UBORA WA HALI YA JUU MNO.. Ili tuanzie hapo kwanza, kabla ya kulaumu upande wa pili ambao HAUPO HAPA (umekula BAN)

Vijana msichukulie kila kitu kama unaweza kufanya tu, mambo mengine ni TAALUMA tena ya Watu wachache sana kama sisi.
Usipende Kuropoka kwa vitu usivyovielewa. Huyu jamaa huwa ana kampuni yake ambayo inafanya kazi ya kuandika proposal kwa NGO mbalimbali. Yani huwa anapelekewa kazi Na hizo NGOs alafu yeye anandika hizo proposal kulingana Na Nahitaji yao. Akishapokea hizo kazi ndiyo anatupa sisi tuzifanye. Hiyo kazi nimemfanyia kwa muda Wa kutosha Na wala hakuwahi kulalamika kuhusu weledi wangu
Hill swala la kusema eti taaluma yangu IPO chini anazuga tu baada ya kumuumbua humi. Kama wewe ni mtaalamu Wa mambo hayo ya kuandaa proposal Fulsa hiyo hapo jamaa ametangaza,changamkia,usitake kufanya mjadala uwe mrefu.
 
Uko sahihi kabisaaaaaa... Mtaalam nguli afanye nae
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom