Prophet Daniel Daniel Shillah ni nani hasa...?

Naomba niongee kile nilicho perceive toka kwenye hizo picha, kinaweza kikawa kweli au uongo, ila ndio perception niliyoipata.
1.) Ni shoga / mxenge
2.) Ana u- gangster ndani yake (anatumia bangi kupata confidence)
3.) Ana show-off the little fun he gets aonekane 'yesu' ametenda kwenye maisha yake.
4.).Ana show-off magari ya kuazima ili kuvutia 'misukule' kama yule wa forex.
 
Duh! Hapo ulipoingiza Forex ndo tumepishana, kwingine nakuunga mkono
 
Na kuna watu watapigwa hela hapo. Mkiambiwa huyu mungu hayupo mnabisha
 
Naye shetani akamwambia tena Kristo... NISUJUDIE nami nitakupa milki yote chini ya mbingu... Bwana Yesu akamjibu akimwambia... Ondoka kwangu shetani.....
 
Naye shetani akamwambia tena Kristo... NISUJUDIE nami nitakupa milki yote chini ya mbingu... Bwana Yesu akamjibu akimwambia... Ondoka kwangu shetani.....
Aise nimekuja spidi kwa pupa lengo tu nione comment yako ili nijiridhishe na nachowaza kama kweli...kumbe niko right !

Wengine wananunua nyumba hadi za bilioni 2 hua najiuliza sana ila anyway
 
Mnaouliza katoa wapi 'Mafwedha' kama kweli anayo mnajielewa kweli?

Jibu ni kuwa kazitafuta.
Kafanyafanyaje?
Inakuhusuje wewe?

Wanaume tunajadili Dili za kupiga Pesa.
Sio yule kapata wapi,
Ili iweje, Wewe unahoji kama nani?
 
Hana connection kweli na Prophet Bushiri wa SA maana inawezekana ndio akawa anasimamia tawi lake kwa TZ

Huyu atakuwa miongoni mwa watumishi wa uongo ambao Kristo alitabiri watatokea wakati wa mwisho ajabu ni watu kushindwa kuwang'amua na hivyo kuvutwa kwao
 
Ni tawi lake hilo
 
Mnaouliza katoa wapi 'Mafwedha' kama kweli anayo mnajielewa kweli?

Jibu ni kuwa kazitafuta.
Kafanyafanyaje?
Inakuhusuje wewe?

Wanaume tunajadili Dili za kupiga Pesa.
Sio yule kapata wapi,
Ili iweje, Wewe unahoji kama nani?
Ni vizuri kuuliza kazitoa wapi ili na sie tukazisake huko. Sio mbaya tukipeana mateknics ya kutafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…