Prophet Bilionea shilla atamka neno....!!

Nabii anayemchoma kuku sindano ya sumu alafu anajifanya ni maombi yamemuua ni zwazwa kama hao waumini wake wanaomuamini.
Na maombi yanamuua kuku ili iweje ?, Si bora huyo kuku wamle kitoweo alafu wamwombee Bwana Malaria, Covid, na Bwana Ukimwi ndio wafe ? Huyu Mungu wa kumuua Kuku nadhani anahitaji kubadilisha priorities....
 
Naogopa kusema .ila Atakae ni shawishi ni atakae mleta baba yake wa kiroho aseme yeye ni uhakika na Huyo baba wakiroho aseme Nabii nani sio wakweli na kwanini ?.Kila MTU anaona wao wako sahii kuliko wenzao thibitisheni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…