watu wanabadilika, na kubadilishwa na kuna wengine wanbadili mambo.Labda tatizo ni wao kubalika badilika kwa kwenda mbele na nyuma ila kwa kwenda mbele ni kuzuri.Kama anakwenda mbele mpongeze, kama ana swing mshauri.
Kwa mtazamo huo basi sioni shida kusema CDM ina watu makini sa.Kama wameweza fanya vitu kwa kiasi cha kufanya wale wote waliokuwa wamekata tamaa ya ukomboze warudishe matumaini no wazi kuwa hao ndio viongozi.Sasa wanaona iwezekana na wao pia wanaweza kuwa sehemu ya gurudumu la kufikia uokombozi basi ni wazi waanaeneza majungu kuwa udini,ukanda, na ukabila ni sera ya CDM soon na wao wataona mwanga na kuamini tofauti.
Ulichoweka hapa ni ushahidi wa aisna fulani kuwa hao waliochaguliwa na kupingwa sana, wamepita malengo na wamefikisha chama mahali ambapo kama ingekuwa kampuni basi imeanza fikia mahali pa kujiorodhesha ktk soko la hisa ili jamii nayo ianze miliki kampuni.Aliyeanzisha kampuni vyema huku akijinyima na kuenda umbali wa ziada kila mara ili kampuni ipate uhai huku akiwabana wote wanaopenda kazi ya mikono na kinywa wasile mtaji ni mfany abishara makini na nguli.
Soon hata wale wanaogawana vyeo vya chama bar, kwa wake zao au hata ktk jamii zao nao watajikuta upepo ukiwapita so fast na kujikuta hawajui walichokuwa wakitafuta ktk maisha.I like Romney kwa hilo ,I like mbowe for the same.I rspect Mtei,Slaa, na backgrouders wa CDM kwa kuweka malengo na kuyafikia bila kutaka wagawiwe mauzo madogo ya siku.
Kwa raia wenye wasiwasi nao wameanza elewa ukweli na wapo tayari ulinda huo ukweli.So km Mzee mwanakijiji ni mmojwapo ya raia walioona kuwa this time if for real, basi ni wazi kuwa Mungu anatuelekeza kwema.Good observation sioni pa kukulaumu kwani hujasema kitu cha kushabulia identity yake.