Ulimboka is a person who thinks very fast and resonably!! I admire his strength and his daring spirit! Hili la kumuona waziri mkuu kesho amelitendea haki sana, yaani kutoa fursa kwa wale wa mikoani kufika, na pia kumpa PM muda zaidi wa kufikiri namna ya kutatua matatizo yetu ili asikurupuke. Maana haiwezekani kuwa PM alipelekewa ile barua kupitia kwa Hawa Ghasia na leo ana majibu yote!! Angalizo tu ni kuwa wale "wazee ambao hawakuwa nasi muda wote wasijejikusanya pale ukumbini wakajifanya wao ndio sisi! Yeyote aliye upande wetu, tutaonana naye kesho
Mimi hapo naona kama Madaktari hawa wanatumiwa na wanasiasa. Iweje waseme Waziri mkuu hana majibu ya haraka hivyo. kwani wao walichokitaka ni majibu ya kero zao au nini? Na iweje wajue kuwa kuna watu wameandaliwa ambao siyo wenzao? Waziri mkuu anajua umuhimu wa kushughulikia tatizo hlo haraka. Mbona vikao vingine vyote vilikuwa vikifanyika bila ya wenzao wa mikoani?. Hii haiingii akilini, lazima kuna nguvu toka nje inayowafanya Madaktari wasione umuhimu wa kukutana na serikali haraka, na kwa maana hiyo hawaoni hata uchungu wowote hata wagonjwa wakifa , akili za aina hii mara nyingi zinakuwa katika mioyo ya wanasiasa na siyo wataalamu. Mungu atawahukumu tu hata suluhu itakapopatikana, wasije wakaanza kutafuta wachawi, malipo ya Mungu ni hapa hapa duniani, watajifanya hawasukumwi na wanasiasa lakini mungu anajua na hakika watapata mapigo tu, vipaji vya kutibu wamepewa na mungu siyo wanansiasa.wakuu inaelekea pinda anaandaliwa kundi la wale madaktari wastaafu ili aonekane amekutana na madaktari.kweli serikali haijawa na nia ya dhati ya kusolve swala hili.soma ujumbe wa kiongozi wa MAT
Mimi hapo naona kama Madaktari hawa wanatumiwa na wanasiasa. Iweje waseme Waziri mkuu hana majibu ya haraka hivyo. kwani wao walichokitaka ni majibu ya kero zao au nini? Na iweje wajue kuwa kuna watu wameandaliwa ambao siyo wenzao? Waziri mkuu anajua umuhimu wa kushughulikia tatizo hlo haraka. Mbona vikao vingine vyote vilikuwa vikifanyika bila ya wenzao wa mikoani?. Hii haiingii akilini, lazima kuna nguvu toka nje inayowafanya Madaktari wasione umuhimu wa kukutana na serikali haraka, na kwa maana hiyo hawaoni hata uchungu wowote hata wagonjwa wakifa , akili za aina hii mara nyingi zinakuwa katika mioyo ya wanasiasa na siyo wataalamu. Mungu atawahukumu tu hata suluhu itakapopatikana, wasije wakaanza kutafuta wachawi, malipo ya Mungu ni hapa hapa duniani, watajifanya hawasukumwi na wanasiasa lakini mungu anajua na hakika watapata mapigo tu, vipaji vya kutibu wamepewa na mungu siyo wanansiasa.
Ni kwa kuogopa nini mpaka wafanye hivyo? Siku zote tuache mambo yatendeke kama yalivyopangwa. Upotoshaji wa namna hii ni wa kijinga na hautuletei maendeleo yoyote wana JF na wananchi kwa ujumla. Toa source ya hii.
Mimi hapo naona kama Madaktari hawa wanatumiwa na wanasiasa. Iweje waseme Waziri mkuu hana majibu ya haraka hivyo. kwani wao walichokitaka ni majibu ya kero zao au nini? Na iweje wajue kuwa kuna watu wameandaliwa ambao siyo wenzao? Waziri mkuu anajua umuhimu wa kushughulikia tatizo hlo haraka.Mbona vikao vingine vyote vilikuwa vikifanyika bila ya wenzao wa mikoani?. Hii haiingii akilini, lazima kuna nguvu toka nje inayowafanya Madaktari wasione umuhimu wa kukutana na serikali haraka, na kwa maana hiyo hawaoni hata uchungu wowote hata wagonjwa wakifa , akili za aina hii mara nyingi zinakuwa katika mioyo ya wanasiasa na siyo wataalamu. Mungu atawahukumu tu hata suluhu itakapopatikana, wasije wakaanza kutafuta wachawi, malipo ya Mungu ni hapa hapa duniani, watajifanya hawasukumwi na wanasiasa lakini mungu anajua na hakika watapata mapigo tu, vipaji vya kutibu wamepewa na mungu siyo wanansiasa.
Mimi hapo naona kama Madaktari hawa wanatumiwa na wanasiasa. Iweje waseme Waziri mkuu hana majibu ya haraka hivyo. kwani wao walichokitaka ni majibu ya kero zao au nini? Na iweje wajue kuwa kuna watu wameandaliwa ambao siyo wenzao? Waziri mkuu anajua umuhimu wa kushughulikia tatizo hlo haraka. Mbona vikao vingine vyote vilikuwa vikifanyika bila ya wenzao wa mikoani?. Hii haiingii akilini, lazima kuna nguvu toka nje inayowafanya Madaktari wasione umuhimu wa kukutana na serikali haraka, na kwa maana hiyo hawaoni hata uchungu wowote hata wagonjwa wakifa , akili za aina hii mara nyingi zinakuwa katika mioyo ya wanasiasa na siyo wataalamu. Mungu atawahukumu tu hata suluhu itakapopatikana, wasije wakaanza kutafuta wachawi, malipo ya Mungu ni hapa hapa duniani, watajifanya hawasukumwi na wanasiasa lakini mungu anajua na hakika watapata mapigo tu, vipaji vya kutibu wamepewa na mungu siyo wanansiasa.
Mimi hapo naona kama Madaktari hawa wanatumiwa na wanasiasa. Iweje waseme Waziri mkuu hana majibu ya haraka hivyo. kwani wao walichokitaka ni majibu ya kero zao au nini? Na iweje wajue kuwa kuna watu wameandaliwa ambao siyo wenzao? Waziri mkuu anajua umuhimu wa kushughulikia tatizo hlo haraka. Mbona vikao vingine vyote vilikuwa vikifanyika bila ya wenzao wa mikoani?. Hii haiingii akilini, lazima kuna nguvu toka nje inayowafanya Madaktari wasione umuhimu wa kukutana na serikali haraka, na kwa maana hiyo hawaoni hata uchungu wowote hata wagonjwa wakifa , akili za aina hii mara nyingi zinakuwa katika mioyo ya wanasiasa na siyo wataalamu. Mungu atawahukumu tu hata suluhu itakapopatikana, wasije wakaanza kutafuta wachawi, malipo ya Mungu ni hapa hapa duniani, watajifanya hawasukumwi na wanasiasa lakini mungu anajua na hakika watapata mapigo tu, vipaji vya kutibu wamepewa na mungu siyo wanansiasa.
Mimi hapo naona kama Madaktari hawa wanatumiwa na wanasiasa. Iweje waseme Waziri mkuu hana majibu ya haraka hivyo. kwani wao walichokitaka ni majibu ya kero zao au nini? Na iweje wajue kuwa kuna watu wameandaliwa ambao siyo wenzao? Waziri mkuu anajua umuhimu wa kushughulikia tatizo hlo haraka. Mbona vikao vingine vyote vilikuwa vikifanyika bila ya wenzao wa mikoani?. Hii haiingii akilini, lazima kuna nguvu toka nje inayowafanya Madaktari wasione umuhimu wa kukutana na serikali haraka, na kwa maana hiyo hawaoni hata uchungu wowote hata wagonjwa wakifa , akili za aina hii mara nyingi zinakuwa katika mioyo ya wanasiasa na siyo wataalamu. Mungu atawahukumu tu hata suluhu itakapopatikana, wasije wakaanza kutafuta wachawi, malipo ya Mungu ni hapa hapa duniani, watajifanya hawasukumwi na wanasiasa lakini mungu anajua na hakika watapata mapigo tu, vipaji vya kutibu wamepewa na mungu siyo wanansiasa.
hata mimi nahisiNi na wasiwasi na wewe ! hivi wewe sio blandina nyomi kweli!