gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 13,019
- 16,020
Nyerere na ujamaa wake alikua muislam?.. USSR ilikua ya kiislam?..nyi walokole mna shida sanalkn hao hao bo pia wa financs islam europe ...
communism and islam ni antichrist , communism is evil ...
Red Indians walikuwa wanakula watoto wadogo ? Chat imeletwa na Imani ? Civilization ililetwa na Dini ? Kabla ya wakoloni kutia mguu eneo hili la Afrika mashariki watu walikuwa hawaishi katika familia, koo na Chief-doms tofauti ?
Kumbuka hapa sisemi hiki au kile kibaya nataka tu kukufahamisha kwamba any extremism ni mbaya na Islam / Christianity their all two sides of the same coin...
******************************************For over a century, Native American children were subjected to widespread atrocities in federally-funded and church-run boarding schools across the United States and Canada. The explicit goal was forced cultural assimilation, encapsulated by the phrase: "Kill the Indian in him, and save the man".
Abuses and atrocities at these institutions were systematic and severe:
Both U.S. federal government and various Christian denominations, including the Catholic Church, were directly involved in operating and funding these schools. Many religious institutions and government officials have since acknowledged their roles and offered apologies, with some ongoing efforts toward truth and healing.
Red Indians walikuwa wanakula watoto wadogo ? Chat imeletwa na Imani ? Civilization ililetwa na Dini ? Kabla ya wakoloni kutia mguu eneo hili la Afrika mashariki watu walikuwa hawaishi katika familia, koo na Chief-doms tofauti ?
Kumbuka hapa sisemi hiki au kile kibaya nataka tu kukufahamisha kwamba any extremism ni mbaya na Islam / Christianity their all two sides of the same coin...
******************************************For over a century, Native American children were subjected to widespread atrocities in federally-funded and church-run boarding schools across the United States and Canada. The explicit goal was forced cultural assimilation, encapsulated by the phrase: "Kill the Indian in him, and save the man".
Abuses and atrocities at these institutions were systematic and severe:
Both U.S. federal government and various Christian denominations, including the Catholic Church, were directly involved in operating and funding these schools. Many religious institutions and government officials have since acknowledged their roles and offered apologies, with some ongoing efforts toward truth and healing.
Nyerere na ujamaa wake alikua muislam?.. USSR ilikua ya kiislam?..nyi walokole mna shida sana
Ahahaha siasa zimekushinda umehamia kwenye ulokole we ndo lijinga kabisa.Nyerere na ujamaa wake alikua muislam?.. USSR ilikua ya kiislam?..nyi walokole mna shida sana
Colonizing others, barbarism ni acts za uncivilized , Unajua Civilization ilianzia wapi ?, Unajua kwamba Africa (Egypt ni moja ya Earliest Civilisation)? There is a reason kwanini Britain ilizunguka kutafuta empires sababu ni kisiwa na hawakuwa na resources kama sehemu nyingine...kama ni kweli tungekuwa na culture superior na yenye cibilization iliyosimama tusingetawaliwa, period!
kuna sababu kwa nini ni ethiopia peke yake ndiyo haikutawaliwa kwa maana walikuwa na civilization tayari, Kanisa la ethiopia orthodox church ni moja kati ya the oldest in the world, walidevelop writting system yao wenyewe, wana kalenda yao, walijenga cities etc
…
Kwenye kitabu chake cha Mein Kampf, Hitler ametaja communists zaidi au kataja Jews?
Kwenye kutafuta Final Solution, Reinhard Reydrich alitoa solution dhidi ya Communists au Jews?
Hitler alikuwa na uadui hata na Britain na USA, hao USSR alianza kusaini nao Molotov-Ribbentrop Pact kabla hajaanzisha WW2 wakati Jews alianzisha concentration camps.
Colonizing others, barbarism ni acts za uncivilized , Unajua Civilization ilianzia wapi ?, Unajua kwamba Africa (Egypt ni moja ya Earliest Civilisation)? There is a reason kwanini Britain ilizunguka kutafuta empires sababu ni kisiwa na hawakuwa na resources kama sehemu nyingine...
Unajua christianity ilianza lini na kama tukifuata maisha enzi za Kristo hata utumwa ungekuwa kosher - ila we are above that na kuna vitu kwenye those era, sasa hivi tumeviweka kando..
Tatizo la Stagnation ya Afrika sasa hivi sio tu marginalization bali tunahitaji emancipation from mental slavery - If you think you cant, then you wont;
Leo hii tunawapa bandari wengine kwamba hatuwezi, bora waliosema madini hayaozi bora tuyaache wanaokuja wakishapa akili watanufaika nayo - Waliosema hivyo hawakujua kwamba huenda tunazidi kuwa wapuuzi....; Alafu eti tunapigani Mchina anachukua kazi zetu za Uchuuzi.....
There has been a shift in our way of Thinking. We used to think we can became self reliant and do all what needs doing.., of-course nothing wrong with assistance here and there....; Now our mentality has changed and we think we can't do anything worthwhile without assistance of others. We should ask ourselves if they can why cant we?
I think we need re-evaluation because the path we are taking is dangerous and the lessons we are teaching our kids might make them slaves in their own country....
I will leave you with a Poem by Walter D. Winter
If you think you’re beaten, you are...
- Logikos
- from self total
- Replies: 1
- Forum: Tanzania Politics Discussion Board
This is neither here nor there; na practically hakuna nchi ambazo ni 100 percent communists, socialists au capitalists - zote ni mixed economies ambazo kulingana na mazingira yao zinaweza zikafanikiwa au zisifanikiwe na kama kuna extremism (that is never a good sign)Nyerere hakuwa communist, Nyerere alikuwa Christian mzuri sana tu, tulisali naye kila jumapili Kanisa la Mt. Peter.
ila Karume wa zanzibar, A.Babu na wengineo wote walikuwa core communists …
Azimio la Arusha linahusu nini na ni la nani?Nyerere hakuwa communist, Nyerere alikuwa Christian mzuri sana tu, tulisali naye kila jumapili Kanisa la Mt. Peter.
Karume hakua mjamaa,Babu ndiyo mjamaa,na ndiye sababu ya marekani na uingereza kumtaka nyerere aungane na Zanzibar wakihofia itakua Cuba ya afrikaila Karume wa zanzibar, A.Babu na wengineo wote walikuwa core communists …
Azimio la Arusha linahusu nini na ni la nani?
Karume hakua mjamaa,Babu ndiyo mjamaa,na ndiye sababu ya marekani na uingereza kumtaka nyerere aungane na Zanzibar wakihofia itakua Cuba ya afrika
Communism ni nini na socialism ni nini?.. communism ni highest stage of socialism,ukisema socialism siyo communism ni sawa na kusema wachezaji wa Serengeti boys si wacheza mpira bali wa taifa stars ndiyo wacheza mpirawakati wa Nyerere kulikuwa na socialism na siyo communism, kwani bado kulikuwa na private companies, communism hairuhusu private ownership …
Communism ni nini na socialism ni nini?.. communism ni highest stage of socialism,ukisema socialism siyo communism ni sawa na kusema wachezaji wa Serengeti boys si wacheza mpira bali wa taifa stars ndiyo wacheza mpira
Nyerere ana kitabu chake 'ujamaa',chama tawala china kinaitwa ccp,Chinese communist party(chama cha kijamaa china)
Siyo kweli, socialism na communism ni pombe zenye viwango tofauti vya ulevi vinavyokaribiana, wakati capitalism ni kitu tofauti kabisa,ni opposite, nyerere aliruhusu wageni(watz wenye asili ya nje)wachache kumiliki biashara,huku weusi akiwazuwiakuna tofauti kubwa tu, tofauti kuu kati ya Capitalism, socialism vs communism ni private ownership, kwenye communism hauruhusiwi kumiliki chochote wakati capitalism unaruhusiwi kumiliki kila ulichonacho, hiyo ndiyo tofauti kuu, kwenye private ownership.
ndiyo maana ulaya mpaka leo kuna vyama vingi tu vinaongoza serikali au vikuu vya upinzani vinabeba neno socialist party, unaweza kusema socialism ni capitalism light wakati communism ni another level …
Siyo kweli, socialism na communism ni pombe zenye viwango tofauti vya ulevi vinavyokaribiana, wakati capitalism ni kitu tofauti kabisa,ni opposite, nyerere aliruhusu wageni(watz wenye asili ya nje)wachache kumiliki biashara,huku weusi akiwazuwia
Aliowaruhusu walikua vipenyo kama juma Thomas zangira jasusi aliyemilikishwa tour agency akasaliti,na hao akina mzee wa ubwabwa waliouza magari tangu siku hizo
Uchumi ulikua centralized, ndiyo maana serikali ilimiliki maduka ya mtaani kupitia mabalozi wa nyumba kumi
Socialism ya nyerere haikua na demokrasia,njia kuu za uchumi zilishikwa na serikali,hapakua na matabaka kwa watz almost maisha yalikua sawa,hata Soviet waliofikia kiwango kikuu cha communism,watu walimiliki nyumba kama tu hapa na nyumba zetu za udongo na nyadi nakilimo cha kujikimumimi nimekupa tofauti kati ya communism vs socialism, capitalism hayo mengine ni uelewa wako tu, iko well established na kuna literature ya kutosha tu unaweza kujielimisha kama ukipenda …
Hata magufuli alipendelea ujamaa nae alikuwa muislamNyerere na ujamaa wake alikua muislam?.. USSR ilikua ya kiislam?..nyi walokole mna shida sana
aisee mkuu unakosea sanaaa! Lucas mishambwa ni mke mdogo wa abdul!Tangia nazaliwa.
Nimekuunganisha na huyo guluguja mwenzako fanyeni jambo mfunge ndoa.
Maboga mawili yakiungana yanaleta hamasa zaidi.
Ng'oa huyo malaya uache kupiga nyeto wewee unakuwa kama lijinga.
Cc: gallow bird
Unasikia mabeberu mabeberu kuna beberu hata mmoja alieshika bunduki kuua watu siku ile?Nimejikuta nakumbuka qoute ya 2Pac kwenye Only God can Judge Me.....
[]"And they Say it's the White Man I should Fear, but it's my Own Kind doing all the Killing Here"[/]