USA na Communism......; na hii ipo mpaka leo ndio maana Mamdani alipata shida sana huko kwenye Mayor Race New York na mpaka leo Bernie Sanders anaonekana kama ni Taboo (Socialist)Hitler was against commmunists, ingawaje jews wengi wengi waliuliwa lkn communists pia na adui mkubwa wa Hitler walikuwa communists, wengi hawalielewi hili na wanaolielewa wanapotosha, vita yote ilikuwa ni against communism iliyokuwa inashamiri Ulaya enzi hizo, karl marx na engel wote walikuwa ni wajerumani pia...
Hitler alikua akipambana na wayahudi waliotawala dunia kupitia pesa, wayahudi wa Soviet Bolsheviks walikua wacommunist,alipambana nao kwa kuona wanapata base kubwa SovietHitler was against commmunists, ingawaje jews wengi wengi waliuliwa lkn communists pia na adui mkubwa wa Hitler walikuwa communists, wengi hawalielewi hili na wanaolielewa wanapotosha, vita yote ilikuwa ni against communism iliyokuwa inashamiri Ulaya enzi hizo, karl marx na engel wote walikuwa ni wajerumani pia...
Kumbe hata maguluguja kama wewe mnajua jua historia ya dunia?Hitler alikua akipambana na wayahudi waliotawala dunia kupitia pesa, wayahudi wa Soviet Bolsheviks walikua wacommunist,alipambana nao kwa kuona wanapata base kubwa Soviet
Ndiyo maana baada ya WWII kuisha, general wa marekani alisema tumepigana na adui siye
Rejea vita vya Bonaparte na uingereza uone wayahudi walivyowachezea kekundu keupe ufaransa na uingereza,tafiti federal reserve inavyoiweka USA kifungoni na Marais waliyoipinga yaliyowakuta
Halafu sijui kwanini hizo mbinu za hadaa hazifanyi kazi kirahisi kama zamani.
Watu wameamka kiakili sana, huwezi kuwazuga kitoto kama anavyofanya Lucas Mwashambwa
Wanatakiwa watumie akili kubwa sana kuunda uongo, vinginevyo ni majanga.
Tangia lini na wewe umekuwa na akili?Halafu sijui kwanini hizo mbinu za hadaa hazifanyi kazi kirahisi kama zamani.
Watu wameamka kiakili sana, huwezi kuwazuga kitoto kama anavyofanya Lucas Mwashambwa
Wanatakiwa watumie akili kubwa sana kuunda uongo, vinginevyo ni majanga.
Tangia nazaliwa.Tangia lini na wewe umekuwa na akili?
Hitler alikua akipambana na wayahudi waliotawala dunia kupitia pesa, wayahudi wa Soviet Bolsheviks walikua wacommunist,alipambana nao kwa kuona wanapata base kubwa Soviet
Ndiyo maana baada ya WWII kuisha, general wa marekani alisema tumepigana na adui siye
Rejea vita vya Bonaparte na uingereza uone wayahudi walivyowachezea kekundu keupe ufaransa na uingereza,tafiti federal reserve inavyoiweka USA kifungoni na Marais waliyoipinga yaliyowakuta
USA na Communism......; na hii ipo mpaka leo ndio maana Mamdani alipata shida sana huko kwenye Mayor Race New York na mpaka leo Bernie Sanders anaonekana kama ni Taboo (Socialist)
Ofcourse ingawa na Communists walipata pigo mwanzo mwanzo ila flag bearer alikuwa ni Jews
Hitler's regime used Jews as a central component of its propaganda machine by demonizing and dehumanizing them to justify their systematic persecution, exclusion from society, and ultimately, genocide. The propaganda blamed Jews for Germany's economic, social, and political problems, presenting them as an existential threat to the "German race".
What is Evil ? And is Christ widely accepted ? Au ni kosa kuwa Antichrist ? ; One Person's Meat is others Poison...; kilicho kizuri chako ni evil kwa mwingine; kwangu mimi any extremist ni hatari kwa jamii; Unajua wamissionari kwa mfano walichowafanya red indians na kuchukua watoto kwamba waende kuwasifisha Imani / Culture yao ?communism and islam ni antichrist , communism is evil ...
What is Evil ? And is Christ widely accepted ? Au ni kosa kuwa Antichrist ? ; One Person's Meat is others Poison...; kilicho kizuri chako ni evil kwa mwingine; kwangu mimi any extremist ni hatari kwa jamii; Unajua wamissionari kwa mfano walichowafanya red indians na kuchukua watoto kwamba waende kuwasifisha Imani / Culture yao ?
Ndio maana mtu kama Peter Tosh aliona contradictions au kina John Kamau wakaamua kujibatiza wenyewe (Jomo Kenyatta)
Peter Tosh was highly critical of mainstream Christianity, viewing it as hypocritical and oppressive, particularly its portrayal of white Jesus and its message of "sin" for Black people. He believed that blind faith without knowledge was dangerous and criticized church teachings for contradictions he observed, which led him to embrace Rastafarianism as a more authentic spiritual path.
Dictators playbookKila hadithi inahitaji Villain.....; Hata Biblia ina Shetani
Sasa naona kuna Story zina-test mitambo kuona ipi itastick vizuri ili tukimbie nayo
- JPM na Mabeberu
- Hitler na Jews; n.k.
Ni mengi tutaendelea kuyasikia, na kunyoshea vidole wengine na kamwe sio kujiangalia wenyewe...
- Iwe ya Kidini kwamba ni Imani fulani ndio haitaki au inachochea kitu fulani
- Iwe ni majirani na vita vya kiuchumi
- Iwe Akili Mnemba
- Iwe wafanya fujo na wasiotakia taifa Amani - Waporaji wa mali za watu
Nimejikuta nakumbuka qoute ya 2Pac kwenye Only God can Judge Me.....
"And they Say it's the White Man I should Fear, but it's my Own Kind doing all the Killing Here"
Red Indians walikuwa wanakula watoto wadogo ? Chat imeletwa na Imani ? Civilization ililetwa na Dini ? Kabla ya wakoloni kutia mguu eneo hili la Afrika mashariki watu walikuwa hawaishi katika familia, koo na Chief-doms tofauti ?kuna good na kuna evil, na kila binadamu analijua hilo, kula watoto wadogo ni evil, kusaidia walemavu kwa mfano au kutetea wanyama ambao hawawezi kujitetea ni good, its universal, kama wewe hauwezi kuliona hilo wewe ndiyo una matatizo na siyo humanity.
ukweli upo, hao watoto red indians walisaidiwa na wamisheni kuujua good, ni kama kwetu walitusaidia (wamishionari) pia na ndiyo maana leo hii hata mimi na wewe tunawexa ku “chat” hapa …
Kwenye kitabu chake cha Mein Kampf, Hitler ametaja communists zaidi au kataja Jews?Hitler was against commmunists, ingawaje jews wengi wengi waliuliwa lkn communists pia na adui mkubwa wa Hitler walikuwa communists, wengi hawalielewi hili na wanaolielewa wanapotosha, vita yote ilikuwa ni against communism iliyokuwa inashamiri Ulaya enzi hizo, karl marx na engel wote walikuwa ni wajerumani pia...
Hii pia naweza kusema ni Propaganda - Kwamba Amini hakuvamia Kagera ?Propaganda:-
...ilimchafua sana Kambona na watanganyika wakamchukia. Lkn ukweli ni kwamba Nyerere alionao Kambona anapata umaarufu zaidi kuliko yeye.
....ilimchafua sana Idd Amin na kuonekana ni mpenda vita, wakati ukweli ni kwamba vita ilianzishwa na Nyerere ili kumrudisha mamlakani rafiki yake Obote ambaye alikuwa kapinduliwa
Ndiyo. Nyerere alimchokoza Amin makusudi ili aanzishe timbwili la kumuondoa ikulu, halafu amridishe Obote madarakani.Hii pia naweza kusema ni Propaganda - Kwamba Amini hakuvamia Kagera ?