Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
hujapenda mimi kuhakiki propaganda Vs ukweliAliekwambia uwe unamix bangi na mavi ya mbuzi yaliokauka kakupotosha kweli mkuu wangu. Hiki ulichokiandika hata mwenyewe ukirudi kusoma hautakielewa.
Hii ya kimba nayo ni PROPAGANDAAyatollah hajashusha kimba siku tatu
Kweli😅