Proof to Atheists

Kwa nini swali lako limekuwa "nani" na si "nini"?

Hujajibu swali hili.
Hakuna sehemu hata moja niliyokuwa najibu swali bali mimi ndio nimekuuliza wewe swali, na wewe huna jibu bali unakwepa kwepa, na sishangai maana kuna ma Atheist wakubwa wakubwa wanapata na vigugumizi vya kufa mtu wakiulizwa hili swali.

Nasubiria jibu mkuu kuna digital information yoyote iliyohitengeneza yenyewe bila intelligence kutumika?
 
Kama hata umelielewa.
 
I'm as much not sold on your so called proofs as I'm ever not on evolution. In fact , I find evolution less obfuscating and far more credible than your complexity induced proofs. At least evolution theory seeks to explain the origin of universe in a more logical manner than your surmised proofs which seem to point to complexity as the only explanation for the existence of the so called omnipotent god.
 
Umeniuliza wapi swali? Hio ndio comment yangu ya kwanza.

Na mimi ndio nimekuuliza wewe swali kama dna ina kitu kama software ambacho kinadirect mambo mbalimbali unasemaje ni kitu kinatokea tu chenyewe? Kitu kama adobe photoshop ama microsoft office kinaweza tokea chenyewe kwa evolution tu?

By the way hio theory ya Intelligent design haina mahusiano yoyote na Quran wala Bible bali inathibitisha tu uwepo wa muumba kwamba kuna muumba mwenye akili aliyetutengeneza na hatujatokana na evolution.
Wewe na baba swalehe n mtu mmoja?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom