Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

mkuu Da Vinci..hebu tujiulize source ya technolojia tuliyonayo in relation to human brain ya sasa hivi...

Una amini kweli kuwa ni binadamu wa kawaida anaeratibu yote hayo...??

Ukitaka kujua hilo fikiria uwezo wako binafsi ulio nao juu ya difficultness unazokumbana nazo na je uwewahi kujiona kuwa ww una uwezo wa kufanya jambo lolote bila asistance yoyote toka kwa mtu yoyote..??

jinsi utakavyo jievaluate uwezo wako wa kiakiki ndivyo ilivyo hata kwa wengine...
point to note ni kwamba tunaegemea zaidi kusema ni conspirancy laki hebu jiulize wanaoratibu mambo hayo ni akina nani...

Leo hii jaribu kuangalia hata utengenezwaji wa madawa unabaki kuwa ni siri nzito...
Lakini kwann taasisi zinazotengeneza hazipo mavyuoni ambapo ndo elimu zote zinatolea lakini kwann wanaotengeneza wapo nje kabsaa na vyuo au mahala elimu hiyi inapotolewa..??

tusiishie kupuuza lakini uliza akili yako nyuma ya pazia kuna nini..

kwann mambo yanaratibiwa kwa siri...
??

Everything becomes conspiracy if not proven otherwise..but how should we rely on that....
ndo mana kuna principle tunaziishi lakini ndo conspirancy zenyewe hizo...



Sent using Jamii Forums mobile app

Mtu aliye nishangaza ni Einstein na theory zake za relativity. Nikiona watu wanavyo jaribu kuzielezea na wanavyo kanyagana wao kwa wao nashindwa kuelewa inakuwaje...
 
Mada yako imekaa kinadharia sana lkn haiuwi mipaka ya kuijadili isipokuwa inakuwa inamipaka(inaleta sintofahamu) kuileta kihalisia maana kwanza umeumba kitu! Sikulaumu na wala sio kosa.
Umemfanya binadamu kuwa yeye hajitoshelezi kiakili kufanya yaliyopo! Sio kosa.. mada yako inaibua viumbe ambavyo tunavifahamu kinadharia!!
Anyway kama hao aliens wanashida na madini tu! Hebu tuanzie kujiuliza hapa kama kumtumia binadamu ndio njia stahiki ya kupata wanachokitaka,huoni kuwa ni process kubwa sana yenye kula muda kumtengeneza,kumsubiri akue,ahimalike mpk afike hatua ya kuanza hiyo kazi ya kuchimba hayo madini..??!! Binafsi naona Kama ni process kubwa Sana kuliko anayoitumia binadamu ya kumtengeneza mitambo na kuanza kuchimba tu na kupata anachokitaka!

I mean hao alien kwa kutumia weledi wao wangetengeneza mitambo tu ambayo ipo fasta na ingeshughulika fasta zaidi ya kumsubilia binadamu!!

Hilo swala la pili la kuhifadhi Gene yao kupitia kwetu ni nadharia pia ila inahitaji kujua nje ndani ulimwengu wote namna ipi nzuri ya kuhifadhi something like Gene kiustadi na muda mrefu zaidi ktk hali ya kiusalama,tukishazijua hizo njia ndipo tupime na tucomfirm kwamba hii ya namna hii ndio inafaa zaidi alasivyo wao pia watakuwa wanamiisho ya ujuzi pia.

Kujadili nadharia huwa ni shughuli pevu kwelikweli hii mada yako ni nzito lkn shida ni unadharia!! Ila sio kipimo Cha kutoijadili but how we prove those things..??

Mi nafikiri tunaweza mtazama binadamu kihistoria iliyo na taarifa ya kushiba ili tupime uwezo wake kiakili kama unakidhi haya tuliyonayo na chengine ni lazima tuufahamu ubongo nje ndani alasivyo tutaona maluweluwe kumbe ni swala la kwamba we miss some information that why we see things like isn't our ability.
 
lifecoded
Kuna mahali nimeona (sio hapa) umeongelea nguvu iliyoko kwenye maumbo mbalimbali. Je kitu kilekile kinaweza kuelezea ishu kama jengo la ulinzi la Marekani kuwa Pentagon in shape na wenyewe kulinadi vile.
Twin towers.
Triangles like Bermuda
Pyramids
Hahahaha, hili suala naona hajalitolea ufafanuzi
 
Utanisamehe sijasoma yote...lakini wewe ni punga
Hao humanoid aliens kuna proof wapo?
Kuna proof hiyo "junk DNA" ilikuwa programed na aliens?
Yani umejitapa mwanzo kuwa utaweka "proof" ya conspiracy theory yako lakini unaunga unga matukio yasiyo na proof kama "proof" yako
 
UOTE="lifecoded, post: 35688244, member: 487938"]
its just beyond yo awareness.. imeze kama ni ngumu basi itafunie kwa chai yenye kijiko kimoja cha sukari
[/QUOTE]
we jamaa am a neuroscientist chief 😂
 
UOTE="lifecoded, post: 35688244, member: 487938"]
its just beyond yo awareness.. imeze kama ni ngumu basi itafunie kwa chai yenye kijiko kimoja cha sukari
we jamaa am a neuroscientist chief [/QUOTE]

comon men lets dance together
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom