Promosheni za mitandao ya simu

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,401
4,965
Haya makampuni huwa yanagezana promo, mmoja akianzisha halichachi mwingine utasikia haliishi, mwingine utasikia hatupimi,
sasa tayari mmoja kaanzisha jaza ujazwe, si ajabu zantel kule zenji wakajibu na tia utiwe
 
Back
Top Bottom