Promise of love

Promise of love

zayat

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
337
Reaction score
42
A man in Thailand Married a dead girlfriend to fulfill his promise of love.
 

Attachments

  • PROMISE OF LOVE.1.jpg
    PROMISE OF LOVE.1.jpg
    7.6 KB · Views: 346
Ndo kusema yeye ni mtu anaye ongoza kwa upendo!!!
 
Mzushi tu huyu...kilichomzuia kumuoa wakati hai ni nini?
 
dah huyu jamaa sasa nae amezidi, atabaki kuumia tu roho na kujifariji kuwa mpenzi wake yupo nae wakati mtu alishafariki......kwa nini usianze maisha mapya tu......love kitu gani bwana
 
Jamaa mnyimi wa fadhira alishindwa kumpenda akiwa hai anapenda mtu aliyekufa!
 
Hiyo haitoshi angeenda akazikwa naye pamoja basi.....
 
Back
Top Bottom