Projekta kuonesha black and white

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,439
Habari zenu wanajamvi?
Ninayo projector NEC VT695 ambapo nikiinganisha na kisimbusi inaonesha picha B&W.
Nikiiunganisha na PC inaonesha picha colored.
Naomba mwenye kujua tatizo au ninapokosea anisaidie tafadhali.

Nawasilisha.
 
Cheki kwenye settings yake kama ni pal au secam


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Angalia hiyo cable ya kisimbusi-projector kama ni nzima, ikibidi jaribu kuweka nyingine ya aina hiyo na ichomeke vizuri

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…