Projects za Mchungaji Kimaro akiwa KKKT Kijitonyama

Hiz dini ni ujinga mtupu ni sehemu ya upigaji tu bora zipigwe marufuku mbona kuna nchi hazina huu ujinga wa makanisa na misikiti na maisha yanaenda tu na wana maendeleo kuliko huku kwenye unafiki wa dini
 
Tujikumbushe, projects kadhaa ambazo Mchungaji Dkt. Kimaro amezifanya akiwa Mchungaji Kiongozi, KKKT Usharika wa Kijitonyama,
1. School of Healing (Morning & Evening Glory) -Youtube Channel (mwanzoni ikiwa Eliona Kimaro TV baadae KKKT Usharika wa Kijtonyama) inayowafikia watu wote Duniani.
2. TAMASHA LA MBINGU KUJAA SIFA (kila mwaka)
3. Jengo jipya la Sunday School (lililogharimu yapata takribani 200m TZS)
4. Ununuzi wa Kiwanja pembezoni mwa kanisa yapata 300m TZS
5. Kusomesha yatima yapata 100
6. World Pray Online (WPO), Call Centre ya maombi masaa 24, siku 7 za wiki.

NB: Ikumbukwe waliokuwa wanasali hizo Morning & Evening Glory wengi hawakuwa waumini wa KKKT bali wa madhehebu mengine na Waislam kuondoka kwake Dkt Kimaro tutarajie mabadiliko kiasi.

***Mchungaji Kiongozi (Mpya) Anna apewe ushirikiano kuendeleza alipoishia Dkt Kimaro.

Amezifanya yeye kaka yeye au imefanyika akiwa mchungaji kiongozi wa Usharika!

Why tunatanguliza kusema projects za kimaro na sio kusema projects za Usharika wa Kijitonyama!??
Kwa haraka hapo ndio msingi wa kiburi cha Kimaro na Wafuasi wake wakasahau kuwa wafuasi wa Mungu na kazi ya Mungu wakageuka kuwa wafuasi wa mtu ambaye n Kimaro

Mkaanzishekanisa lenu ili mkamilishe lengo lenu
 
Kanisa sio siasa!ama mtu kutafuta umaarufu

Kwahiyo unataka kusema bila yeye usharika huo,unakufa na hauwezi kuendelea?sio kweli Huwa inafika wakati sharika kukua na hapa nasisitiza bila Baraza la wazee kuamua,kuwa na Nia Moja hakika ni ngumu kuendelea
Ulitaka kujua kimaro ana kipawa..jiulize kkkt kkooo now days Iko wapi? Mbona haisikiki? Mimi binafsi nilikuwa nawahi morning glory daily kkoo kabla ya kuja job posta..baada ya kumwondoa kkoo imepoa kabisa imerudia enzi zake..kimaro kaenda knyama kaibadilisha kabisa naamini hata mapato yake yalikuwa maradufu. Ana karama ya kipekee
Ila kwa hili ingawa hatujui Nini chanzo ila naamini pande zote mbili walipaswa kutumia busara Ili kuilinda imani.kwani angetangaza kwamba ameomba likizo ya miezi miwili kwa ajili ya mapumziko kisha akaenda malizana na viongozi angepungukiwa Nini..yaelekea wamemshika pabaya anataka huruma ya raia
 
Amezifanya yeye kaka yeye au imefanyika akiwa mchungaji kiongozi wa Usharika!

Why tunatanguliza kusema projects za kimaro na sio kusema projects za Usharika wa Kijitonyama!??
Kwa haraka hapo ndio msingi wa kiburi cha Kimaro na Wafuasi wake wakasahau kuwa wafuasi wa Mungu na kazi ya Mungu wakageuka kuwa wafuasi wa mtu ambaye n Kimaro

Mkaanzishekanisa lenu ili mkamilishe lengo lenu
Si ndiyo zetu hizo...

Magufuli kanunua ndege sita mpya

Samia kachimba mashimo ya vyoo laki tisa

Utafikiri pesa zao...

Eti miradi ya Kimaro
 
Ulitaka kujua kimaro ana kipawa..jiulize kkkt kkooo now days Iko wapi? Mbona haisikiki? Mimi binafsi nilikuwa nawahi morning glory daily kkoo kabla ya kuja job posta..baada ya kumwondoa kkoo imepoa kabisa imerudia enzi zake..kimaro kaenda knyama kaibadilisha kabisa naamini hata mapato yake yalikuwa maradufu. Ana karama ya kipekee
Ila kwa hili ingawa hatujui Nini chanzo ila naamini pande zote mbili walipaswa kutumia busara Ili kuilinda imani.kwani angetangaza kwamba ameomba likizo ya miezi miwili kwa ajili ya mapumziko kisha akaenda malizana na viongozi angepungukiwa Nini..yaelekea wamemshika pabaya anataka huruma ya raia
Mapato alikua anatoa hela zake mfukoni?
 
Hivi huyu kimaro ni nani hasa Hadi kutrend namna hii Jf!? Au ni member humu!?

Kila ninapo-refresh, nyuzi zake haziishi humu....kuna utumishi kweli hapa!?

Au it's all about kick! Trying to turning back the hands of time!?

You can't turn back the hands of time on this dispute!

Huo ndio ukweli mchungu! Sikio halizidi kichwa, huwezi kushindana na ulipotokea!- the base/roots

Kuna maisha mengine nje ya hapo
U celebrity mpaka makanisani. Mitume karibu wote wa Yesu waliuawa na kazi ikaendelea sembuse Kimaro?

Watu wanaabudu watu siku hizi ndiyo maana wako tayari hata kuwa abused kisa tu eti ni mtumishi mwenye "upako" na miujiza haijalishi upako huo ni wa nuru au giza.

Kimaro atapita na kazi ya Mungu itaendelea!
 
Mnanishangaza sana.
Hata Yesu aliwasifu mafarisayo kwa kuwatolea mfano wanafunzi wake kuwa;
" Haki yenu isipozidi haki ya mafarisayo kamwe hamtauona ufalme wa Mungu"

Hapo kuwasifia waislanu katika eneo wanalofanya vizuri kuna tatizo?

Nimegundua Wakristo wengi ni zero katika ufahamu wa neno la Mungu.
Hapo Yesu hakuwasifia bali aliwaponda mafarisayo ,pia zaidi ya Mara moja aliwaponda sehemu zingine.

Mathayo 23:13

[13]Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnawafungia watu ufalme wa mbinguni; ninyi wenyewe hamwingii, wala wanaoingia hamwaachi waingie.
 
Vuongozi wengi sana siku hizi pamoja na waumini wao wanaangalia zaidi ya kimwili kama miradi na uwekezaji na kusahau kujijenga na kukua kiroho
Mkuu Mshana Jr Yale mambo yako ya matunguli uliacha ukawa mkristo? Nakuuliza sio kwa ubaya ila nakumbuka JF 2016 ulivyowasha moto Na habari za majini Na mortuary Na mapicha picha kibao
 
Mkuu Mshana Jr Yale mambo yako ya matunguli uliacha ukawa mkristo? Nakuuliza sio kwa ubaya ila nakumbuka JF 2016 ulivyowasha moto Na habari za majini Na mortuary Na mapicha picha kibao
Labda amenunua wokovu na miujiza kama Simoni mchawi wa enzi za akina Paulo🤣🤣🤣
 
Nimekufuatilia sana nikagundua wewe mfia kkkt na haukubaliani ma mabadiliko ya kiroho.
Bado unaipenda kkkt iliyodumaa kiroho na hukupendezwa na huduma za uamsho za Kimaro.
Nimekugundua kuwa umhafidhina na sio imani sahihi ya Kikristo.

Kkkt ni dude kubwa ambalo halina msaada katika jamii bado lipo kuwanyonya wa kkkt kimapato ilhali mrejesho katika jamii ni hafifu sio kiriho wala kimwili.

1. Shule za kkkt ziko kipigaji ma ziko taabani
2. Hotel ya corodor spring wakunwa walipiga zaidi ya 3B waumini wamechangishwa karibu wafe na wakakimbia walio wengi.

3. Selian hospital nahitaji kusema zaidi?

Bora Kimaro mara 1000 kuliko hao wachungaji na maaskofu vihiyo.
Mkuu hapa unazungumzia Dayosisi ya Kaskazini Kati na hayo yote vinamilikiwa na Kaskazini Kati.
 
Ulitaka kujua kimaro ana kipawa..jiulize kkkt kkooo now days Iko wapi? Mbona haisikiki? Mimi binafsi nilikuwa nawahi morning glory daily kkoo kabla ya kuja job posta..baada ya kumwondoa kkoo imepoa kabisa imerudia enzi zake..kimaro kaenda knyama kaibadilisha kabisa naamini hata mapato yake yalikuwa maradufu. Ana karama ya kipekee
Ila kwa hili ingawa hatujui Nini chanzo ila naamini pande zote mbili walipaswa kutumia busara Ili kuilinda imani.kwani angetangaza kwamba ameomba likizo ya miezi miwili kwa ajili ya mapumziko kisha akaenda malizana na viongozi angepungukiwa Nini..yaelekea wamemshika pabaya anataka huruma ya raia
wewe kkoo morning glory mbona bado inabamba sana tena sadaka zimezidi kuliko hata alivyokua mch kimaro
 
Back
Top Bottom