Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 408
- 182
Jamani projector aina gani nzuri kwa ubora wa picha.
Jamani projector aina gani nzuri kwa ubora wa picha.
mkuu ingia hap zitakufaa hiziJamani projector aina gani nzuri kwa ubora wa picha.
The probability that i wake up late in morning is 0.5. when
i wake up late the probability that am late arriving at the office is
0.85. when am not late waking up,the probability that i arrive late is 0.4.
Find the probability that i am late arriving on any one morning?
How brother
Jamani projector aina gani nzuri kwa ubora wa picha.
* Ili uchelewe kazini hakutegemeana umewahi kuamka ama laa, pia hakutegemeani na kuwa jana ulichelewa kazini ama laa. So hii ni independent probability event.
*Halikadhalika, kuchelewa kazini kwa siku yoyote ile, hakutegemeani na matukio ya siku ya jana yake.
* Then, tukio la kuchelewa kazini linaweza kuwekwa katika mfumo huu wa maneno ya kawaida.
Kuchelewa kazini = (uchelewe kuamka na uchelewe kazini) or (uwahi kuamka na uchelewe kazini).
Hope mpaka hapo tupo sawa.
Tukibadili maneno hayo na kuyaweka kihisabati itakuwa hivi :
Kuchelewa kazini = (0.85 x 0.5) + (0.5 x 0.4) = jibu nilokupa.