Project planning Management and Community Development

Nimependa confidence yako ndugu yangu. yaani unaonekana uko moto na unaona wote wanaosota mtaani bila kazi ni viaz. aisee........!
Twende kwenye mada sasa, mbona hujatuambia kuhusu GPA. weka wazi una GPA ya ngapi ili hata kama unatoa taarifa ofisini kuwa una mdogo wako unakuwa na full details. siyo wote tutakutumia Email au kukupigia simu, illi iwe rahisi kwa wadau wote humu jamvini.

The guy, ameweka namba yake ya simu na email. Kama unataka kumsaidia kwa dhati, wasiliana nae atakutajia hiyo GPA huko. Usilete ushankupe hapa..

PS: Just because watu wengi hawana ajira mtaani, haimanishi recent graduates wasitafute kazi. Kila mtu na bahati yake mkuu!
 
ata mimi natilia shaka uwezo wenu watu wa UDOM coz eti hamkufanya field sasa hapo kuna kazi..kupata kazi..lakini maisha yanaendelea wasiliana na hao wadau upate pa kuanzia.

Nani kakwambia field inakupa experience ya kazi?! Ofisi gani inaweza kumkabidhi mtu ambaye si muajiriwa wa pale afanye kazi za maana?! Zaidi ya kwenda ofisini kutumwa kubeba ma-file
 
Mimi ni Graduate wa mwaka huu 2011 wa Degreee ya Project Planning Management and Community Development...napatikana kwa no hii 0782513333 kwa aliye tayari kunipa mchongo wowote au kunisaidia tuwasiliane wadau..!

bwana kaka hii coz yako ngumu sana kuajiliwa niulize kwa nini?? Kila ofisi ina projects it doesnt matter what kind of projects na ina staf working on othose projects so wanachofanya ni kuwapelka wafanyakazi wao kwenye shortcourse za project management sasa nambie watakuajili lini wewe. Mi nafikiri uanze kwa kujitolea sehemu upate japo ka uzoefu then e unaweza kuchomokea numo kwa kunya mambo yako mwenyewe
 
acha kufikiria kwa makalio,mbona wewe kuna ka uzi umeanzisha mbako heading haiendani na kilichoko ndani

mh, makalio nayo yanafikiria. We binadamu wa kawaida kweli bila shaka ubongo wako una mafuta ya taa. Ka uzi najua umekacheki bt ile ni coz pekee ambayo inamtoa kijana wa tz from haso za ajira.
 
The guy, ameweka namba yake ya simu na email. Kama unataka kumsaidia kwa dhati, wasiliana nae atakutajia hiyo GPA huko. Usilete ushankupe hapa..

PS: Just because watu wengi hawana ajira mtaani, haimanishi recent graduates wasitafute kazi. Kila mtu na bahati yake mkuu!

Like it....
 
Duh.! UDOM??? kasome kwanza masters ndo 2kupe connections za bachelor, Bila shaka hata field hamjafanya, wengine wanasoma nyie mpo mitaani mmefukuzwa chuo, Bora hata ungekuwa Education ningekupa mchongo wa shule ya awali.

Aisee 0 kabisa, we mwenyewe bado unasoma af mbaya zaidi zile kozi ambazo mnaenda kwa bahati mbaya kutokana na ubovu wa matokeo (UALIMU) .Af ndo unaleta kashfa zisizo na Msingi...ka hauna cha kumshauri mtu mnaona tabu gani mkinyamaza au ndo kutaka kuongeza wingi wa post?!
 
Duh.! UDOM??? kasome kwanza masters ndo 2kupe connections za bachelor, Bila shaka hata field hamjafanya, wengine wanasoma nyie mpo mitaani mmefukuzwa chuo, Bora hata ungekuwa Education ningekupa mchongo wa shule ya awali.

Aisee 0 kabisa, we mwenyewe bado unasoma af mbaya zaidi zile kozi ambazo mnaenda kwa bahati mbaya kutokana na ubovu wa matokeo (UALIMU) .Af ndo unaleta kashfa zisizo na Msingi...ka hauna cha kumshauri mtu mnaona tabu gani mkinyamaza au ndo kutaka kuongeza wingi wa post?!
 
mh, makalio nayo yanafikiria. We binadamu wa kawaida kweli bila shaka ubongo wako una mafuta ya taa. Ka uzi najua umekacheki bt ile ni coz pekee ambayo inamtoa kijana wa tz from haso za ajira.

Usitudanganye,..Sio kwamba umeenda kusomea hy kozi ili utoke kimaisha ila ni Miswaki na S S zako ndo zilizokupeleka hk..
 
kama vp kazia kwa postgraduate diploma ya finance and accounts au entrepreneurship from ifm au UDSM, mwanangu utakuwa umekamilika kila angle. usisahau kujiajiri pia kamanda just in case unapata capital ya kutosha. utafutaji mwema!
 
Nimewasoma wadau sasa huyu jamaa hajui maana ya mimi kuweka number ya simu hapa ili tuwasiliane kama ana nia ya kutoa msaada..????? hahahaha jamani kueleweshana nako tutumie mabomu ya machozi..????
 
Kila la kheri, Mungu ni mwema - atakupa haja ya moyo wako.
 
Aisee 0 kabisa, we mwenyewe bado unasoma af mbaya zaidi zile kozi ambazo mnaenda kwa bahati mbaya kutokana na ubovu wa matokeo (UALIMU) .Af ndo unaleta kashfa zisizo na Msingi...ka hauna cha kumshauri mtu mnaona tabu gani mkinyamaza au ndo kutaka kuongeza wingi wa post?!

Duh, kumbe we elimu yako bado ijakusaidia. Unafikiri walioenda ualimu wote wamefeli, Maombi yanahitajika juu yako. Bt jua ya kuwa div niliyopata itabaki kuwa ndoto kichwani mwako.
 
Usitudanganye,..Sio kwamba umeenda kusomea hy kozi ili utoke kimaisha ila ni Miswaki na S S zako ndo zilizokupeleka hk..

Kajipange bt jua ualimu ni wito, na mimi ndo nakuja kuokoa kizazi cha watoto wenu ambao wazazi wake ni butu kama wewe.
 
Vijana achananeni na ajira za maofisini njooni huku porini na power tiller kwenye mito tujiajiri ,kazi yenyewe unalipwa nini!
 
Back
Top Bottom