Progressive People's Party of Tanzania

Mchungaji,

Where are we on this? au ndo ukaamua uje na CCJ baada ya changamoto uliyopewa ya jina la ''Kiblurey'' ....PPPT?

NGO si ziko nyingi na mshazigeuza kuwa kampuni za mifukoni hata kuwajibishwa haiwezekani?

Sisi tunataka tuwajibike kwa Wananchi na Wananchi watoe neno na si kujifungia katika vikao maalum au kuunda kamati maalum!

.......Mchungaji, husemi neno re. swali langu hapo juu?
 
Hivi kile Chama kilichoanzishwa na Rev Kishoka kimeishia wapi?...bado kipo na je kuna mtu yeyote kwenye kile chama atatokea kugombea katika uchaguzi wa mwaka huu?.
Maana since then sijasikia kitu tena hadi nimeshakisahau kinaitwaje ni TPL? au.

Just curious!....Maana nataka kusaidia katika kampeni pia.

Tks

xoxo
BM
 
Huwezi kufikiria kumsaidia kwenye kampeni kama hata chama chenyewe hukifahamu. Utani huo!!
 
ahh na wewe upo active
kwenye politics?
mimi nilifikiri ni kwenye bussines only.
ahh nakuja pm huko.
 
Rev Kishoka kumbuka uchaguzi ni october 2010,sasa amejipanga vipi maana usajili wenyewe ni mizengwe mitupu,waweza kuta uchaguzi chama bado akijasajiliwa kabisa.mara tafuta wadhamini nk
 
....nishamuuliza hapo juu as well....lkn mchungaji yupo jiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Waungwana,

Naona mmesahau kuwa tulitamka wazi lengo letu si kukimbilia Uchaguzi, hivyo naomba muwe na subira!

Waswahili walisema, Subira yavuta Heri!
 
Back
Top Bottom