sadly sioni actual feedback ya progress
nahisi umewahi sana kuleta update
Pia kwenye haya mambo ya mahusiano, naamini kabisa kwamba it takes two..... nyege ni kunyegezana; kama humnyegezi, basi hanyegeki
jitahidini sana akina dada type yako kujifunza kwamba sex is for two, si sawa na piza delivery au kukata kucha
I have had experience where the most beautiful woman i know failed to make my sex drive (which is too much) excited!!! na mbaya zaidi hmkiwa kwenye ndoa, wengi we take ndoa as a responsibility only and not as a relationship and love affair as well
Pole sana but take it from me, he might have responded to you, but he has the same feelings kama wewe and decided to keep his cards to his chest
IT IS COMPLICATED