NONSENSE! Hili ni tangazo la biashara, ungelipeleka kwenye thread ya matangazo madogo madogoMods: Naomba msiunganishe huu uzi na ule wa kwanza.....please! Wapendwa, kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kabisa kwa wote ambao mliweza kuchangia uzi uliokuwa na title "mume hanifikishi kisawasawa'. Kwa kweli nasema ahsante sana kwa wote mliochangia bila kujali aina ya mchango wenu kwani kila mtu ana upeo wake wa kufikiri, na kikubwa kila mtu ana uhuru wake wa kuchangia anachoamini. Kwanza kabisa niwatoe wasiwasi wale wote ambao kwa namna moja au nyingine walidhani labda ni story ya kutunga...hapana ndugu zangu ni kitu cha kweli toka moyoni mwangu kabisa. Kwa kweli nilipata ushauri mwingi wa aina tofauti tofauti, na miongoni mwao wengi walinitaka niongee na hubby (Mr. wangu) kwanza kabla ya kufikiria chochote. Nami nikaona ni kitu ambacho kina elements za busara ndani yake..........ilibidi weekend hii nikae nae na kumuelezea kinagaubaga (A to Z) of my concern. Kwa kweli alikuwa mtulivu na kunisikiliza malalamiko yangu yote kama ambavyo niliombea ushauri kwenye ile thread yangu. Kwanza alishituka sana, nadhani hakutegemea kama ningeongea nae hivi vitu.....lakini kadri tulivyokuwa tunaongea,".......he was slightly getting used to the subject............." Nilipomaliza akanambia "nimekusikia mama watoto, mimi sina tatizo lolote kazini, sina nyumba ndogo na wala sijakuchoka mke wangu....ila umefanya jambo la maana kuniambia". Alichofanya akaniahidi tu kwamba hali itakuwa "kawaida" kuanzia wiki hii. Sasa ndio nasubiria na wiki imeshaanza. Yaani kwa ahadi hiyo, imebidi leo niende simple shopping ya mambo fulani ya kunogesha mechi kwani kuna wengine walisema huenda rangi ya "chachandu" imemkifu na ushauri mwingi uhusuyo malavidavi Sasa kuanzia leo nategemea kuendelea kuiona anga katika uhalisia wake kama ilivyokuwa awali.....lakini kama atashindwa kunithibitishia alichoniahidi katika mwezi huu.......nadhani citakuja tena kwenye huu uwanja na mada nyingine ila ni ku-choose wa kurusha nae roho Katika uzi wangu wa kwanza nilisema ningempa Mr wangu miezi 6, lakini zaidi ya watu 50 walini PM wakitaka mchezo....anyway nadhani kama nitaamua kurusha roho na wa humu ndani....nitatoa priority kwa wale walioni-pm in the first thread. Samahani kama nawakwaza baadhi ya watu kwa hizi threads zangu mbili lakini naomba mnielewe hali niliyonayo.........!
Japo mie sikuku-PM kwenye sredi yako ya awali, ila try to consider ME as well iwapo mambo yatazidi kuwa kama Kinyonga.
Ushafanya maamuzi wa kurusha roho na mtu, hakuna kitakachokuzuia....
hata kama mmeo akikupa dozi ya mtu mzima kutwa mara 3 bado hamu yako ya kucheza mechi ya kirafiki unayo....
all the best!!!!
nitafurahi kama ukirudi kutupa fidback ya hao 50 nani kaibuka kinara na kula mzigo......
What if ni memba humu na ashapitia thredi zote?
Au ni ---- ---- flani iv haijui JF.!
NONSENSE! Hili ni tangazo la biashara, ungelipeleka kwenye thread ya matangazo madogo madogo
mambo ya kufanya mapenzi yanamambo ya kusubiria mwezi ujao ndiyo uanze kumridhisha mwenzako ?
kwanini asikugeuze hapo hapo na ilikuwa weekend akushughulikie vya kutosha?
hapa nahisi unaagenda ya siri kutaka kuwapanga wanaume wa jf ukimwaminisha kila mmoja kuwa yeye ndiyo aliyechaguliwa.
Mods: Naomba msiunganishe huu uzi na ule wa kwanza.....please!
Wapendwa,
kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kabisa kwa wote ambao mliweza kuchangia uzi uliokuwa na title "mume hanifikishi kisawasawa'. Kwa kweli nasema ahsante sana kwa wote mliochangia bila kujali aina ya mchango wenu kwani kila mtu ana upeo wake wa kufikiri, na kikubwa kila mtu ana uhuru wake wa kuchangia anachoamini.
Kwanza kabisa niwatoe wasiwasi wale wote ambao kwa namna moja au nyingine walidhani labda ni story ya kutunga...hapana ndugu zangu ni kitu cha kweli toka moyoni mwangu kabisa. Kwa kweli nilipata ushauri mwingi wa aina tofauti tofauti, na miongoni mwao wengi walinitaka niongee na hubby (Mr. wangu) kwanza kabla ya kufikiria chochote. Nami nikaona ni kitu ambacho kina elements za busara ndani yake..........ilibidi weekend hii nikae nae na kumuelezea kinagaubaga (A to Z) of my concern.
Kwa kweli alikuwa mtulivu na kunisikiliza malalamiko yangu yote kama ambavyo niliombea ushauri kwenye ile thread yangu. Kwanza alishituka sana, nadhani hakutegemea kama ningeongea nae hivi vitu.....lakini kadri tulivyokuwa tunaongea,".......he was slightly getting used to the subject............."
Nilipomaliza akanambia "nimekusikia mama watoto, mimi sina tatizo lolote kazini, sina nyumba ndogo na wala sijakuchoka mke wangu....ila umefanya jambo la maana kuniambia". Alichofanya akaniahidi tu kwamba hali itakuwa "kawaida" kuanzia wiki hii. Sasa ndio nasubiria na wiki imeshaanza. Yaani kwa ahadi hiyo, imebidi leo niende simple shopping ya mambo fulani ya kunogesha mechi kwani kuna wengine walisema huenda rangi ya "chachandu" imemkifu na ushauri mwingi uhusuyo malavidavi
Sasa kuanzia leo nategemea kuendelea kuiona anga katika uhalisia wake kama ilivyokuwa awali.....lakini kama atashindwa kunithibitishia alichoniahidi katika mwezi huu.......nadhani citakuja tena kwenye huu uwanja na mada nyingine ila ni ku-choose wa kurusha nae roho
Katika uzi wangu wa kwanza nilisema ningempa Mr wangu miezi 6, lakini zaidi ya watu 50 walini PM wakitaka mchezo....anyway nadhani kama nitaamua kurusha roho na wa humu ndani....nitatoa priority kwa wale walioni-pm in the first thread. Samahani kama nawakwaza baadhi ya watu kwa hizi threads zangu mbili lakini naomba mnielewe hali niliyonayo.........!
What if ni memba humu na ashapitia thredi zote?
Au ni ---- ---- flani iv haijui JF.!