mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 245
- 194
HitfimNatanguliza shukrani.
Naomba kufahamu ni aina gani ya programu ya video editing ambayo inaweza operate kwenye laptop ya kawaida aina ya Dell Inspiron yenye properties hizihapa
RAM 4GB
Processor Intel(R) Celeron (R) 2957U @1.40GHz 1.40 GHz
HD 500GB
Post sent using JamiiForums mobile app
Asante mkuu kwa mawazo mazurimagix easy video editor, movie maker na cyberlink powerdirector zote zitakubali. ila narecomend sana cyberlink powedirector, ni powerfull halafu pia ni rahisi kuitumia.
pia unaweza tumia hizi proffesional programs lakini versions za zamani mfano after effect cs3 itapiga mzigo fresh.
pia consider kutafuta software yenye quicksync support maana hio gpu yako inayo, wakati wa kurender speed itaongezeka sana.
Ok sawa nashukuru sanaHitfim
Hitfilm pro ina kila kitu na ni simple sanaOk sawa nashukuru sana
Post sent using JamiiForums mobile app
Natanguliza shukrani.
Naomba kufahamu ni aina gani ya programu ya video editing ambayo inaweza operate kwenye laptop ya kawaida aina ya Dell Inspiron yenye properties hizihapa
RAM 4GB
Processor Intel(R) Celeron (R) 2957U @1.40GHz 1.40 GHz
HD 500GB
Post sent using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuu. Naweza kuzipata free of charge?magix easy video editor, movie maker na cyberlink powerdirector zote zitakubali. ila narecomend sana cyberlink powedirector, ni powerfull halafu pia ni rahisi kuitumia.
pia unaweza tumia hizi proffesional programs lakini versions za zamani mfano after effect cs3 itapiga mzigo fresh.
pia consider kutafuta software yenye quicksync support maana hio gpu yako inayo, wakati wa kurender speed itaongezeka sana.
Mkuu siwezi kupata hii kitu bure? Lazima nilipie?Programu bora na bora ya kuhariri video ambayo nimewahi kutumia ni powerdirector app download katika TechBigs na huduma anuwai za kulipwa na athari za bure.
Labda uchakachue. Cyber link wanatoa trial, siku 30 unaweza ujaribu kama Utaipend.Asante sana mkuu. Naweza kuzipata free of charge?
Asante Chief. Ngoja nijaribu mkuu ijapokuwa trial huwa wanazipunguzia uwezo wa kufanya kazi kwa 100%.Labda uchakachue. Cyber link wanatoa trial, siku 30 unaweza ujaribu kama Utaipend.
Imeshindikana kama hivi mkuu:Labda uchakachue. Cyber link wanatoa trial, siku 30 unaweza ujaribu kama Utaipend.
Ume download version ya 64bit wakati windows yako ni 32bit.
Trial za muda huwa zinakuwa na uwezo wote, jaribu kwanza ukiielewa tutaongea zaidi.Asante Chief. Ngoja nijaribu mkuu ijapokuwa trial huwa wanazipunguzia uwezo wa kufanya kazi kwa 100%.
Mkuu niliwahi kudowload ya 32 bit ikanielekeza kwa hackers; ngoja nitulie kwanza nitafakari jinsi ya kupata editor isiyokuwa na masharti au longolongo.Ume download version ya 64bit wakati windows yako ni 32bit.