Programs with available slots for the second round application

Nimeshangaa sana leo kwenye kozi ya Bsc in Building Survey ya Ardhi competition ilikua hivi
WALIO APPLY=2130
ELIGIBLE=1692
1st CHOICE=187
ADMISSION CAPACITY=20
sasa cha ajabu leo naona kuna available slot 17 sasa wamechukua watu 3 tu kati ya 1692 walio kua eligible au mimi sijaelewa vizuri??
 
kuna tatizo na wataalamu wa IT. Management is working on the issue. Be patient
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom