1= C/C++
Hii hutumika sana katika kutengeneza GAME mbalimbali
Hii itasaidia sana kukuingizia kipato coz watu wengi hupenda sana kucheza Games haijalishi ni mtoto au mkubwa.
Kwa kuongezea, C na C++ sio tu zinatumika kutengeneza ma gemu, zinatumiaka sana katika kutengeneza applications na systems kama hospitalin, hospitalini, zinatumika kwenye devices n.k pia zinatumika kutengeza virus wa komputa, operating systems kama windows, linux, mac os karibia zote zimetengenezwa kwa hizi languages...
Inaweza kutumika kwenye android apps development japo sio popular katika uwanja huu kama java!!
Pia zimetumika ku derive languages nyingine kama java, php, python na nyingine nyingi!! kwa kifupi hizi core languages katika IT world!!
2=JAVA
Hii hutumika hasa katika kutengeneza Apps Mbalimbali za Android.Hii pia itakusaidia kukuingizia kipato. Ila hata C hutengeneza Apps japo hasa ni za IOS
Java imegawanyika kwenye sehem kuu tatu! yaani Java SE(core java), Java FX kwa ajili desktop applications, na Java EE kwa ajili ya web apps!
Java sio tu inatumika kwenye android apps, pia inatumika kwenye kutengeneza applications kwa ajili ya desktop computer kwa kutumia Java FX na pia inatumika kwenye kutengeneza enterprise/web apps kama za mabenki, na mashirika makubwa makubwa!!
Mpaka sasa java imefikia version 1.9 au java 9 ambapo ilitolewa mwaka huu mwezi wa saba kama sikosei!!
Android apps (95%) zimetengezwa kwa kutumia JAVA!!!