sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,432
- 5,081
hongeraMh nina mdomo juu ya kidevu wakati hiyo sehemu ya juu ya kichwa Ina masikio tu na nywele kidogo sasa itaniumaje ? .
hongeraMh nina mdomo juu ya kidevu wakati hiyo sehemu ya juu ya kichwa Ina masikio tu na nywele kidogo sasa itaniumaje ? .
Vp chemistry haipo? ,,,Ningepend uzi list fields za IT na Aim zake,,,chemistry?
Kilicho nikwamisha ni kutaka kujifunza kwa haraka yaani nimalize kujifunza Java in one day
Hata hivyo sikukubali kukwama.How to learn Java in one(single) day?
www.jamiiforums.com
Vp chemistry haipo? ,,,Ningepend uzi list fields za IT na Aim zake,,,
Changamoto kubwa ni kufikiri kujifunza programming ni sawa na kujifunza programming language.Hivi ni vitu viwili tofauti vinavyotegemeana.Kujifunza programming ni rahisi zaidi kama mtu ataelewea hio tofauti.Ni muhimu mtu akatambua kwamba usianze kujifunza lugha core kbla ya kuelewa misingi wa programming.
Ukielewa misingi ya programming ni rahisi kuchagua lugha na kuimudu kwa sababu tayari unakuwa unajua misingi ya Programming na eneo ambalo unataka kuzama.
Soa Ushauri Kwa yeyote anayetaka kujifunza aanze na kuelewa msingi ya Programming and software development.Kisha chagua eneo unalotaka kulimudu kisha chagua lugha unayotaka kuimudu.Baada ya hapo unaweza kujifunza lugha nyingine on need to know basis
Mkwanja
Mimi ni mwanafunzi Wa hii kitu. Solo learner.
Kwa miez sita sasa, ila nafanya taratibu taratibu. Nikipata muda.
Aimed ni kuweza tengeneza Mobile app ya idea yangu,
Nilivyopeleka wazo kwa wataalam wakadai Mill 5.
Nikasema ngoja nisogeze mbele mwaka mmoja ili na mm nipate ujuzi then nitaenda omba ushaur kwa wataalam ili kunalizia au wainalizie.
Nilianza Jifunza Java Via Eclipse. Nikakwama..
So nikarud from Beginning ya web developing.
So far nimeweza Html, Php na css.
Natumia wapserver.
As development tools , ni nzur na zinatoa mwongozo mzur kwa beginners.
Alaf sijaona mtu anataja hizi tools huku mtandaon.
Ila Mm zinanisaidia sana.
Wale wataalam, Naomben mwongozo zaid.
Alaf programing iko interesting sana. Na weng wanaosoma siku moja /mbili na kuacha ni kwasababu wanakosa introduction nzur ya hii kitu.
Wewe kinachokukwamisha hujapata mwongozo mzuri, hii inawasumbua wengi sana maana utajikuta unasoma hiki mara kile, hapa mentor anakuwa na nafasi yake sana
Na mimi Nina wazo kama lako,programmers wanatuambia bei ndefu sana ,so I have decided to learn it mwenyewe ili niidevelop mwenyewe...hivi app kama kupatana wanatumia language ganiiMimi ni mwanafunzi Wa hii kitu. Solo learner.
Kwa miez sita sasa, ila nafanya taratibu taratibu. Nikipata muda.
Aimed ni kuweza tengeneza Mobile app ya idea yangu,
Nilivyopeleka wazo kwa wataalam wakadai Mill 5.
Nikasema ngoja nisogeze mbele mwaka mmoja ili na mm nipate ujuzi then nitaenda omba ushaur kwa wataalam ili kunalizia au wainalizie.
Nilianza Jifunza Java Via Eclipse. Nikakwama..
So nikarud from Beginning ya web developing.
So far nimeweza Html, Php na css.
Natumia wapserver.
As development tools , ni nzur na zinatoa mwongozo mzur kwa beginners.
Alaf sijaona mtu anataja hizi tools huku mtandaon.
Ila Mm zinanisaidia sana.
Wale wataalam, Naomben mwongozo zaid.
Alaf programing iko interesting sana. Na weng wanaosoma siku moja /mbili na kuacha ni kwasababu wanakosa introduction nzur ya hii kitu.
Ile wametengeneza kwa kutumia Software inayoitwa OS Class ambayo hutumika kwa ajili ya kudevelop classified ads websites, ile ni PHPNa mimi Nina wazo kama lako,programmers wanatuambia bei ndefu sana ,so I have decided to learn it mwenyewe ili niidevelop mwenyewe...hivi app kama kupatana wanatumia language ganii
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi Nina wazo kama lako,programmers wanatuambia bei ndefu sana ,so I have decided to learn it mwenyewe ili niidevelop mwenyewe...hivi app kama kupatana wanatumia language ganii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni makubaliano yenu tu, kumbuka Programming profession ambayo kwa sisi wengine ndio tunategemea kumudu gharama za maisha ya kila siku, so usiwe na ''stereo type' kwamba hawana idea, unakua unakoseaDevelopers wengi TZ hawana Ideas. na wakiletewa Idea na mtu wanataka kupiga hela nyingi, badala ya kuiwezesha app itokeee kwanza na awe na share.
Who know..
inaweza ikafeli au inaweza kufaulu.
Je ikifaulu si utakuwa mbali na
Ikifeli utajifunza ujasiriamali zaidi.
Ni kweli, lakini haituzuii na sisi kujifunza na kuiutilize technology kwa kukabiliana na local environmentSijawahi maana wazungu wametupiga gap kubwa sana kwenye haya mavitu kiasi kwamba wewe unajifunza java script wao wako kwenye machine learning na Artificial Intelligence