Achana na script itakudekeza. Omba algorithm uielewe then utaiprogram kwa language yoyote.
1. Tengeneza indexed array yenye mchanganyiko wa herufi na namba unazotaka
2. Kupata herufi ya kwanza, tumia random number generator kupata number kati ya 0 na
kisha namba hiyo itumie kama index kupata herufi ya kwanza
Code:
str = arr[rand(0, arr.length - 1)]
3. Rudia step iliyopita kupata herufi ya pili, ya tatu n.k