Lazima makosa yawepo na inaboreshwa siku hadi siku hakuna kitu 100% perfect ni vile tu kujiridhisha responses zake kama una mashaka. Wataalamu msaada wa kujaribu game langu la Drafti.
Unaweza cheza na AI Offline au na Rafiki yako Online kwa kumtumia game join link. Pia unaweza kucheza na mtu yoyote online.
Unaweza kuangalia game yoyote inayoendelea live kama mtazamaji na mengine mengi.
Game linapatikana Play store kwa jina Backrow Rush pia lina sheria ya Tanzania.