Jana wakti napitia pitia online nilikutana na watu wameanzisha kitu kinaitwa php gtk kwa ajili ya kutengeneza desktop application je ni kweli hii yawezekana na kama inawezekana hiyo application itafanyaje kazi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.