Nimeangalia sasa hivi naona wameniwekea wanavyojua wao chuo, kimoja na kozi moja tu machaguo yote.
Vimefutwaje tuma screenshotKulikoni nisaidie, katika application yangu ya NACTE, programme na institute names havionekani/vimefutwa. Tatizo ni lipi?
Itakuwa Kuna mtu ulipa username na passwordNimeangalia sasa hivi naona wameniwekea wanavyojua wao chuo, kimoja na kozi moja tu machaguo yote.
Never on earth, nipo home on desktop computer not accessible to anyone, after all we are three at home! Mom , dad and I
Kulikoni nisaidie, katika application yangu ya NACTE, programme na institute names havionekani/vimefutwa. Tatizo ni lipi?
Ondoa shaka huo ni mtandao tu ulizingua rudia tena zitaonekana zote.Kulikoni nisaidie, katika application yangu ya NACTE, programme na institute names havionekani/vimefutwa. Tatizo ni lipi?
asante kweli, zimerudi zote! sante kwa kujaliOndoa shaka huo ni mtandao tu ulizingua rudia tena zitaonekana zote.
Sent using Jamii Forums mobile app