Mimi sijatengeneza notice na videos, nimezipata kutoka various sources, ndani na nje yanchi,Waje inbox umetengeneza ww au umedownload?
Mjumbe wa JF kutoka Kiseke- Mwanza
Sasa si utuambie hapa tutazipataje? Mambo ya inbox haya sioMimi sijatengeneza notice na videos, nimezipata kutoka various sources, ndani na nje yanchi,
Zimenifaa sana kama kuna anayehitaji zinaweza kuwa msaada kwake pia.
Siuzi. Nasaidia mwenye shida.
Tena wewe ndugu yangu kabisa hapo kiseke mwanza, ambacho huelewi ni nini, mimi siuzi anayehitaji aje inbox. Kama hutaki basi,Sasa si utuambie hapa tutazipataje? Mambo ya inbox haya sio
Mjumbe wa JF kutoka Kiseke- Mwanza
Hehehee aya sawa bana wengine tunawaogopa watu wasiojulikana..tunafungua link tu..ukiwa na link tuwekee banaTena wewe ndugu yangu kabisa hapo kiseke mwanza, ambacho huelewi ni nini, mimi siuzi anayehitaji aje inbox. Kama hutaki basi,
Mbona kuna ambao tayari nishawatumia. Kama na wao wataona wakugawie sawa tuu, hii ni elimu tuwape na wengine mwenyekuhitaji.
OkMimi najulikana,
Kiseke lodge. Ni mali yangu.