Program ya ArchCAD 19/20 kwa 64-Bit

Mkwala

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
1,158
1,227
Wasalaam,
Napenda kujua wenye hii program ya Drawing huwa kuna gharama gani kuweza kuinstall na kuitumia.Nikijua bei au upatikanaji wake kuna jamaa yangu anahitaji kuipata hii kitu.Wale wazoefu tuambiane ni wapi tutapata hiyo Program au currently version.
Asanteni
 
ni kudownload kama utapenda... kama utataka ya kununua online au CD/DVD pia ni wewe tu...

kama upo Dar waone wataalamu wa fani za uandisi na uchoraji wata kusaidia...
 
Why akiwa dar? Ina mikoa mingine haina wahandisi au wachoraji?
kama yupo mkoani nilipo mimi nta msaidia bure... Dodoma hapa... ila kabla sija move sani ikifika J4 sita kuwepo nitakuwa mkoa mwingine... na kama atakuwepo huo mkoa...
 
Shukrani sana kwa taarifa,nashukuru Jamaa ameipata Program na anaendelea na kazi.Asanteni sana wadau
 
Back
Top Bottom