You are not Seriousssssss!!!!!!!Habari zenu wan jamvi..
Naomba kujua SOS Children's Village Tanzania wanalipa mshahara kiasi gani kwa nafasi ya PO.
Asanteni
1.2mHabari zenu wan jamvi..
Naomba kujua SOS Children's Village Tanzania wanalipa mshahara kiasi gani kwa nafasi ya PO.
Asanteni
Na majibu lazima apate ambayo not serious kama alivyo yeyeYou are not Seriousssssss!!!!!!!
1.5mHabari zenu wan jamvi..
Naomba kujua SOS Children's Village Tanzania wanalipa mshahara kiasi gani kwa nafasi ya PO.
Asanteni
1.5m
Wewe ndo hauko serious, mi niko kazin unataka nitoke Mara niende Dar katika interview nisiyojua kiwango cha mshahara.Na kwa majibu haya ya 1.2 ama 1.5 ni kidogo kulingana na kile napata nilipo.You are not Seriousssssss!!!!!!!
Haya mkuu naona wewe uko seriousNa majibu lazima apate ambayo not serious kama alivyo yeye
What if hiyo NGO imekuita wewe tu au tuseme wawili tu kwenye hiyo post?Wewe ndo hauko serious, mi niko kazin unataka nitoke Mara niende Dar katika interview nisiyojua kiwango cha mshahara.Na kwa majibu haya ya 1.2 ama 1.5 ni kidogo kulingana na kile napata nilipo.
Umeitw??Wewe ndo hauko serious, mi niko kazin unataka nitoke Mara niende Dar katika interview nisiyojua kiwango cha mshahara.Na kwa majibu haya ya 1.2 ama 1.5 ni kidogo kulingana na kile napata nilipo.
Post imetangazw juz hawajait bado. Wenge tuWhat if hiyo NGO imekuita wewe tu au tuseme wawili tu kwenye hiyo post?
Huoni ushajiharibia?
Ile ilopita ilikuwa ya Arusha waliita na hii ni ya Mwanza unayoongelea wewe, ambayo waliitangaza tarehe 10Post imetangazw juz hawajait bado. Wenge tu
Waliniiita ndioUmeitw??
Ook. Nenda kapge & all the bestWaliniiita ndio