program inayofanya kazi kama TIME WATCHER!!!MSAADA

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
Habari wakuu.naombeni mnisaidie kama kuna program inayoweza kutumika internet cafe kwa ajili yakuset time kwa wateja.kama vile ilvyo time watcher.

Time watcher kwangu inazingua
 
kuna moja uwa inatengenza vocha mteja anapewa vocha sijui inaitwaje, iyo ni poa sana mnaijua naitafuta sana ila jina silijui nataka niijue inavofanya kazi
 
Ni antamedia hiyo
 
nimezidownload hizo lakini ni ngumu sana

pole sana mkuu. nna project ambayo niliisimamisha kwa muda lakini umenipa mzuka wa kuimalizia. ni program nlikuwa natengeneza inafanya kazi kama Time Watcher nadhani ntaanza kuiendeleza hivi punde....

kuna moja uwa inatengenza vocha mteja anapewa vocha sijui inaitwaje, iyo ni poa sana mnaijua naitafuta sana ila jina silijui nataka niijue inavofanya kazi

hata mimi hii nliiona Cafe moja pale Mwanza nadhani karibu na yule samaki ila siikumbuki jina
 
pale moshi town kuna internet cafe maarufu inaitwa KICHEKO wanatumia hiyo program muda mrefu sasa. niliona kama ni nzuri kuliko hizo nyingine
 
pole sana mkuu. nna project ambayo niliisimamisha kwa muda lakini umenipa mzuka wa kuimalizia. ni program nlikuwa natengeneza inafanya kazi kama Time Watcher nadhani ntaanza kuiendeleza hivi punde....

hata mimi hii nliiona Cafe moja pale Mwanza nadhani karibu na yule samaki ila siikumbuki jina

mwanza ilikuwepo pale auvionics zamani na nimeiona dodoma kwenye internet cafe ya Joan ila jamaa akakataa kuniambia hata jina la hiyo software, watu bana since ameicustomize nikashindwa kuijua maana ina run in background na inafanya kazi kama net ipo
 
Habari wakuu.naombeni mnisaidie kama kuna program inayoweza kutumika internet cafe kwa ajili yakuset time kwa wateja.kama vile ilvyo time watcher.

Time watcher kwangu inazingua
nimeitest hii nimeipenda
attachment.php

anta.png
 
Back
Top Bottom