ndugu wages haiwezi kua profits ukioanza kuchanganya vitu namna hiyo haukawii kuharibu...profits ni za mwenye kitu either kuuza i.e trade business etc..wages is for employees so wages sio profit hata kidogo...
point yangu ya kusema kwamba kuanza kuchanganya ime base kwenye hiki wages and profits comparison uliyoiweka...sasa ni hivi sio lazima maneno yawe in plain meaning refering to what i have said but inference ya comparison yako na sababu ulizoziweka i.e salary being constant, stress free, end of the month smiling..ni obvious unaweza infer kwamba a wage earner is in a better position as a profit maker or bearer..sasa kwamsingi huo ndio maana nikasema kuchanganya...which means what..hasara ya mtengeneza profits hailingani na na wewe msubiria mshahara sababu wewe ulie kua employed ndo una stress za kuhakikisha kwamba everything is done in accordance..ili profit realization ifikiwe..so anaeskilizia profit yeye anasubiri tu report nyie waajiriwa ndo mnaochakarika kuhakikisha mambo yote yana kwnda sawa...kujichanganya kunaanza pale unapoanza kucompare vitu hivyo viwili ni na kusema wage earner yuko kwa comfort zote...unafikiri bill gates ana stress za microsoft kupata loss? ni MD,anaesumbuka kuwa stress watu wa chini yake..au abramovich..anasumbuka yeye ana mwachia kocha, kocha anawa stress wachezaji..wafanye vitu vizuri..nafikiri hapo utakua umenipata vizuri kabisa...ovamii sikubaliani. wages are better than profits sababu,
1.profit hubadilika lakini mshahara wako ni constant (ukiacha cases za kupandishwa cheo),
2 ofisi ni lazima inilipe mshahara wangu kwanza kabla haijajua imamake profit au loss kiasi gani) kwahiyo mshahara wangu umepewa kipaumbele. mshahara wangu upo
3. mshahara upo pale pale hata kama kuna siku ambazo hukuzalisha/kuuza katika mwezi wakati profit huweza kushuka kama hakuna mauzo.
4. kupokea wage hakukupi stress. huna mawazo ya kucover costs zozote za uzalishaji, ikifika mwisho wa mwezi unasmile tu. ni tofauti na kama ungekuwa unaearn profit, lazma umake sure umelipa gharama zote za uzalishaji including wages.
nani anabishaaaaaaa????
Huu ndo Ugonjwa
mkubwa sana, Fear, mkuu kila mtu ukimuuliza atakuambia anapenda sana
kufanya biashara ila tatizo ni fear, yaani mtu anashindwa biashara kabla
hata ya kuifanya,
Kuingia katika Ujasirimali kunafananishwa na wale jamaa wanao vaa Mabomu
na kwenda Kujilipua, ni lazima ujitoe mhanga,
Ni lazima Uchome Meli Moto, waturuki walivyo kuwa wakifika Pwan ya
Mapigano enzi hizo, walikuwa wakichoma Moto meli zao zote zilizo
wafikisha eneo la vita, hii ilimanisha kwamba hawana Optional nyingine
zaidi ya Kushinda Vita, Why?
1. Wakishindwa bado watauwawa kwa sababu wameisha choma moto meli zao
hivyo hawataweza kukimbia
- So iliwabidi washinde vita ili kuokoka, Na kweli walikuwa wanapambana
kufa na kupona huku wakijua wanahitaji tu kushinda,
Katika Biashara kuna Chalengi nyingi sana, Ikiwemo kukatishana Tamaa, so
unahitaji kuwatupilia mbali wale wote wanao kwamisha wewe kusonga
mbele, Futa namba zao, Badili hata Namba kama ikibidi,
Utakapo kuwa unaingia kwenye Biashara utakuwa na Optional Moja tu ya
Kupambana hadi tone la Mwisho, Make kule mtaani ulisha wafutilia mbali
baadhi ya Marafiki, Umegombana na ndugu zako kwa sbabau ya Biashara,
Umekosana na Wazazi, so ni lazima upambana kufa na kupona,
SO UNAHITAJI KUCHOMA MOTO MELI KABLA YA KUANZA SAFARI YA UJASIRIMALI
point yangu ya kusema kwamba kuanza kuchanganya ime base kwenye hiki wages and profits comparison uliyoiweka...sasa ni hivi sio lazima maneno yawe in plain meaning refering to what i have said but inference ya comparison yako na sababu ulizoziweka i.e salary being constant, stress free, end of the month smiling..ni obvious unaweza infer kwamba a wage earner is in a better position as a profit maker or bearer..sasa kwamsingi huo ndio maana nikasema kuchanganya...which means what..hasara ya mtengeneza profits hailingani na na wewe msubiria mshahara sababu wewe ulie kua employed ndo una stress za kuhakikisha kwamba everything is done in accordance..ili profit realization ifikiwe..so anaeskilizia profit yeye anasubiri tu report nyie waajiriwa ndo mnaochakarika kuhakikisha mambo yote yana kwnda sawa...kujichanganya kunaanza pale unapoanza kucompare vitu hivyo viwili ni na kusema wage earner yuko kwa comfort zote...unafikiri bill gates ana stress za microsoft kupata loss? ni MD,anaesumbuka kuwa stress watu wa chini yake..au abramovich..anasumbuka yeye ana mwachia kocha, kocha anawa stress wachezaji..wafanye vitu vizuri..nafikiri hapo utakua umenipata vizuri kabisa...ova
actually the main difference between salaries and wages its that wages are normally paid per hour while salaries is normally a set up amount per month but I think for the sake of this argument lets not differentiate between salaries and wages (after all who is paid per hour in this country) apart from vibarua maybeWages unalipwa according 2part ov work u done, its not salaries,, but profit is reward ov enterprenuer due a certain production, sasa Profit ni bora kuliko wages since wages unaamuliwa kulipwa, bt profit unapata according 2ur own perfomance en icrease capital
Huu uzi umenipa moyo wa ujasiri. Asanteni wote mliochangia.
Nadhani hapa tunakosea tunaposema directly kwamba hii sentensi inamaanisha kuajiriwa na kujiajiri.., nadhani hakuna mtu anayepinga kuanzisha kitu chako (business yako) sababu ingawa kuna risk sky can be the limit...Husninyo.. Refer post yako ya kwamba wages is better than salary.
Hapana best... Ni sawa wages iko na uhakika but mind u profit hata kama hazina uhakika na wakati mwingine kuna hasara but una uwezo wa kupata profit ika clear some loss.
With ya business uko na option ya expand more n more but kazini utasubiri upandishwe cheo au upate mshahara.
Mfano mzuri ni wazee waliokubali kuajiriwa mpaka age ya kustaafu bila kujiingiza katika ujasiariamali, wanajifia stress coz salary ziliwawezesha kulipa bills tu (rent, school fees, food, shelter etc). Kama mjanja unakuta amefanikiwa kujenga nyumba tu..
Akistaafu anategemea mafao ndo yamweke mjini .. Mara ndo anaanza kufikiria biashara which is crazy.
Mytake.. Kama kijana nafikiria kujistaafisha mapema iwezekanavyo ni invest muda, akil na nguvu zangu ktk ofisi yangu mwenyewe.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Husninyo.. Refer post yako ya kwamba wages is better than salary.

mi mwenyewe nashangaa anaanza kubisha hata kusoma hajasoma dahmkuu naomba unionyeshe wapi nimesema profits inaweza kuwa wages ? Au unasoma vitu unavyowaza kichwani mwako ? Naomba angalia upya statement yangu uone kama nilichosema ndicho unachosema.. Just kuweka mambo sawa wages (mshahara) na profit (faida) am sure baada ya kusoma tena utaniomba radhi (ila don't worry nishakusamehe next time soma polepole)
Kaka hapa tunaongea in general terms which is better than the other, ukianza kuleta scenario utaharibu maana ya thread, na tatizo kubwa la watanzania wengi ni uthubutu na hili tunaliona wazee wetu wengi wakishastaafu wanavyochoka, huwa tunaridhika sana na vijimshahara ukifikiria kwa makini mishahara mingi ya tanzannia ni hela za kula tuNadhani hapa tunakosea tunaposema directly kwamba hii sentensi inamaanisha kuajiriwa na kujiajiri.., nadhani hakuna mtu anayepinga kuanzisha kitu chako (business yako) sababu ingawa kuna risk sky can be the limit...
Lakini ngoja nikupe mfano mdogo ambao msemo wa profits ni better than wages does not necessarily hold true..., mfano mimi nakuja na biashara yangu au nataka unifanyie/unitengenezee kitu changu alafu nikakwambia je nikulipe pesa tumalizane au nisikupe kitu ila tugawane kwenye mauzo mwisho wa siku.., utaona hapa kuna degree ya risk kubwa ambayo mwisho wa siku ni upeo wangu kuona je ni kweli hio profit itapatikana ? Tena mfano realistic ni kama msanii kwenye contract ya ku-perform (akipewa pesa yake mwanzo kabla ya show it means yeye kamaliza, ila akisema ngoja tuone ni watu wangapi wataingia tugawane faida ya mauzo huenda mwisho wa siku akatoka bila hata senti). Narudia hakuna chizi ambae atapinga umuhimu au ubora wa kuwa na biashara yako, wala faida ya kujiajiri hata part time na watu wanaopinga hawapingani na uzi wa mwanzo kabisa wenye elaboration bali wanapingana na statement sababu it depends na scenario na aina ya biashara inayofanyika (as you know kuna biashara nyingine kichaa)
c.c Nxt Millionaire, Husninyo, Lyamber, chama2chawa, Chasha, Zamazamani
Kaka hapa tunaongea in general terms which is better than the other, ukianza kuleta scenario utaharibu maana ya thread, na tatizo kubwa la watanzania wengi ni uthubutu na hili tunaliona wazee wetu wengi wakishastaafu wanavyochoka, huwa tunaridhika sana na vijimshahara ukifikiria kwa makini mishahara mingi ya tanzannia ni hela za kula tu
nadhani unajua kwamba duniani kote wafanyabiashara ndio wanaendesha nchi hata angalia nchi yako ya tanzania utapata jibuYeah inabidi niongelee scenario sababu tangia mwanzo nilisema sio always wages ni better than profit (kumbuka hapa simaanisha kwamba reinvestments ni mbovu), nadhani takuwa mpuuzi kutetea kwamba ile wages ukiipata usi-reinvest kwenye assets ambazo zitakusaidia uzeeni, kumbuka hata hapa nchini kwetu kuna watu wanakula mishahara ya kufa mtu huenda hata kuliko wangefungua biashara fulani full time ambayo wanaweza kufanya ( kumbuka hawa watu hawakatazwi kuuza nyanya au kufanya biashara nyingine part-time) its just kuongeza kipato, vile vile itakuwa upuuzi kwa hawa watu kuacha hio kazi yao ya mshahara na kuuza hizo nyanya full time (ukizingatia mshahara wao ni mwingi kuliko kuuza hizo nyanya at that instant).
Pia kumbuka kwa bongo kuna investment ambazo sio hands on (nyumba, ardhi n.k.) ambazo unaweza kuendelea na kazi yako wakati pesa inaingia (utaacha kazi pale tu ambapo biashara utakayofanya ita-justify kuacha kwako kazi) although sikatai kuna ile self happiness ya kuwa na biashara yako.
Kaka hapa tunaongea in general terms which is better than the other, ukianza kuleta scenario utaharibu maana ya thread, na tatizo kubwa la watanzania wengi ni uthubutu na hili tunaliona wazee wetu wengi wakishastaafu wanavyochoka, huwa tunaridhika sana na vijimshahara ukifikiria kwa makini mishahara mingi ya tanzannia ni hela za kula tu
kwa msingi huo wewe ni muogopa risk kwa hiyo biashara huwezi..unaona unapenda security ya kua employee..ukiikubali risk na kuifanya kitu cha kawaida..unapiga faida ogopa sana...mf kwenye hiyo mifano yako ukiingiza hizo risk likija swala la kutoka unatoka kiukweli,,dont let fear of loosing hinder you from achieving the joy of winning kaka amini hivyoNadhani hapa tunakosea tunaposema directly kwamba hii sentensi inamaanisha kuajiriwa na kujiajiri.., nadhani hakuna mtu anayepinga kuanzisha kitu chako (business yako) sababu ingawa kuna risk sky can be the limit...