Mkuu wewe unapotoka sana, ukiwa kama Mjasirimali, Pamoja na kwamba Mshahara wako ni Profit, bado Malupu lupu mengine utayapata kama aloance ya Safari, na kazalika,
Profit unayo pata ni baada ya wewe kuwa umetoa cost zote ikiwemo matumizi yako ukiwa katika shuguri za biashara, wakati Mshahara ndo kila kitu
Hapo kwenye Red, labda unazungumzia mishahara ya huku Bongo, Ila kwa wenzetu watu wanalipwa kwa saa, unalipwa kadri unavyo fanya kazi na si vinginevyo, ukiugua hakuna kulipwa,
Mkuu sijakupata, Wages inatumika vipi kutengeneza profit? au unazungumzia Wages kama mtaji?
kwa maelezo yako inaonesha kabisa kuwa unakubaliana nami kuwa wage ndio better kuliko profit.. Hayo malupu lupu mengine hata muajiriwa pia anayapata. Mwenyewe umekiri profit unayopata hadi uwe umetoa costs zote kwa mantiki hiyo profit yako ipo kwenye danger zone kama costs zako zitakuwa kubwa kuliko revenue.....
Halafu nazungumzia hapa hapa bongo ambapo mwisho wa mwezi unakimbilia zako benki, ukiumwa unapata mapumzko na mshahara wako upo pale pale... Hapa hapa bongo ambapo waweza pata chance ya kusoma zaidi huku mshahara wako ukiendelea kujicredit tu..
Profits
I see Profits as a way to increase in lifestyle.
Profits are extra money gained from risk.Profits are only granted to those who use ingenuity.How to make them is limitless.It requires either money or ambition to begin.
Buy for less & Sell for more or Sell for more than the Price to Buy.
Example 1: Buy a box of watches at a flee market for $2.00 each; Put them out for auction or sale on web for $5.00 each; Wait until they sell and collect your investment plus profit.
Example 2: Take a picture of several watches you find at a flee market that cost $2.00 each; Put them out for auction or sale on web for $5.00 each; As they sell take the $5.00 and go buy the chosen watch for the $2.00 and keep the $3.00 profit.
Who can earn a profit? ANYBODY....Weath is achived though service to the many, for only in service to the many may you reach wealth.With profit being limitless service to the many is possible.So in essence wealth is also possible, not garanteed. NOTHING IS GARANTEED.
Wages
I see wages as a way to safely stay enslaved.You exchange time and knowlege (labor) for a set limit of money.
You have to perform labor to aquire wages.Performing labor is limited to the labor you are capable of.
You might be a lawyer capable of the labor exchanging your knowlege for others money in a courtroom; Limited to the time needed per case & your knowlege of the law.
You might be a Doctor who exchanges money for their expertise in an operating room or consultation; Limeted to the time needed to see a patient & level of your education.
Maybe you are an excecutive at a major company and earn a wage for closing deals and making your company profits; Limited to the amount of money allowed to your position & until the company finds a less expensive replacement.
But regardless you are limited to the amount you make!You can never make more than your BOSS! You can never make less than your OVERHEAD!You can never ENJOY 5 Years AWAY FROM WORK!You are chained to something regardless of what freedoms you think you have!This is servitude to the few.
Service to the few is slavery.You can break free, but first you must know what has you bound

Huu Wote ni uoga. Kuajiliwa ni utumwa.nilishamshauri dada mmoja ambaye alikuwa ameajiriwa na wahindi akawa proud kwamba Kampuni inaingiza mamilioni, nikamwambia Hiyo hela unayoingiza huko kwa nini usiimiliki wewe na kampuni yako njoo tusajili Kampuni yetu hizo kazi zilete kwetu,hao achana nao,mimi na wewe tuwe wanahisa.....Hiyo ilikuwa 4 yrs ago..sasa hivi mdada ni tajiri na anasumbua hapa mjini vilivyo...kule alikuwa alilipwa 1.8m ,sasa yeye Ndio analipa watu mamilioni ,..tunasonga mbele vibaya
mimi ninabisha huwezi jicompare wewe na aliyekuajiri hata siku moja..kwa vyovyote vile huo mshahara wako ulio constant uko kwenye expenses za hiyo sehemu unayofanyia kazi...unaweza ccompare huyo muajiri na wewe kimaendeleo? ukiona walipwa 5m ujue yeye apata zaidi ya mara 10 or more than what your paid..also una fear of loosing such a job thats why each and every day lazima uamke asubuhi na kuwahi foleni lakini je wamiliki wa hiyo sehem unayofanya kazi wawaona? unajeuri ya kusema wiki hii siendi kazini? inabidi ujue waliokupangia mshahara wameshaestimate ili wapate faida wakulipe sh.ngp ili faida iwe kubwa....na daily wanafight kureduce costs...so amini hivyo..kama unajeuri kaaa home wiki nzima..ndo ujue kama mshahara uko constant ama vipi..upo au haupo...amini hivyo jombaaaamii sikubaliani. wages are better than profits sababu, 1.profit hubadilika lakini mshahara wako ni constant (ukiacha cases za kupandishwa cheo), 2 ofisi ni lazima inilipe mshahara wangu kwanza kabla haijajua imamake profit au loss kiasi gani) kwahiyo mshahara wangu umepewa kipaumbele. mshahara wangu upo 3. mshahara upo pale pale hata kama kuna siku ambazo hukuzalisha/kuuza katika mwezi wakati profit huweza kushuka kama hakuna mauzo.4. kupokea wage hakukupi stress. huna mawazo ya kucover costs zozote za uzalishaji, ikifika mwisho wa mwezi unasmile tu. ni tofauti na kama ungekuwa unaearn profit, lazma umake sure umelipa gharama zote za uzalishaji including wages.nani anabishaaaaaaa????
mimi ninabisha huwezi jicompare wewe na aliyekuajiri hata siku moja..kwa vyovyote vile huo mshahara wako ulio constant uko kwenye expenses za hiyo sehemu unayofanyia kazi...unaweza ccompare huyo muajiri na wewe kimaendeleo? ukiona walipwa 5m ujue yeye apata zaidi ya mara 10 or more than what your paid..also una fear of loosing such a job thats why each and every day lazima uamke asubuhi na kuwahi foleni lakini je wamiliki wa hiyo sehem unayofanya kazi wawaona? unajeuri ya kusema wiki hii siendi kazini? inabidi ujue waliokupangia mshahara wameshaestimate ili wapate faida wakulipe sh.ngp ili faida iwe kubwa....na daily wanafight kureduce costs...so amini hivyo..kama unajeuri kaaa home wiki nzima..ndo ujue kama mshahara uko constant ama vipi..upo au haupo...amini hivyo jombaaaa
Nxt Millionaire,we have an unfinished 'business' mkuu!
Nakusikilizia.
Kweli, jamaa ni Mbishi kama nini, Mwajiliwa huwezi jilinganisha na mwajili kwa chochote kile,
Mkuu una uhakika na unachosema? (sio kwamba ninashabikia kuajiriwa, bali nasema it depends).., kuna watu ambao ni asset bila talent zao au uwezo wao kazi fulani haiendi in so doing unakuta kampuni inabidi kuwalipa pesa nyingi wasikimbie in so doing unaweza ukakuta mshahara wake unazidi mgao wa shareholders (baada ya kutoa matumizi yote) ni kweli huenda shareholders (owners) kazi yao isiwe kubwa au ya maana kuliko huyu asset, au scenario nyingine unaweza ukakuta mfano mtu lecturer anafundisha part time vyou zaidi ya vitano mshahara wake unaweza ukazidi mgao wa wenye vyuo individually..
In short inategemea na kazi pia mkuu ile peace of mind watu wanayodhani ipo kwenye owning your own business au kwamba utafanya kazi unapoamua ni ya kufikirika (kwenye biashara yako the buck stops with you.. ukicheza competition inakuondoa) unaweza ukajikuta wewe ndio wa mwanzo kuingia kwenye shughuli na wa mwisho kutoka au unajikuta hata jpili unapiga mzigo (au hata siku ya harusi yako kama mambo yamekwenda vibaya as well as unaweza ukajikuta umetoa mishahara wakati wewe haujajilipa)
Kampuni yoyote hutoa mishahara kulingana na mapato yalivyo na huwezi lipwa mshahara mkubwa kama hakuna profit inayo fanyika, na ndo maana hata Mdololo wa Uchumi huko USA na Ulaya Wahanga wa Kwanza ni Wafanya kazi na si Waajiri, waajiri wao wanacheza na Uchumi, wakiona hali ni mbaya wanakata vichwa ili kupunguza cost, Huko USA hatujasikia kampuni zimefungwa ila ni wafanyakazi kupukutishwa kama majani ya miti,
Mkuu hata kama unalipwa Bilioni of shilling bado huwezi kuwa zaidi ya Mwajiri wako, Makampuni makubwa Dunini yanayo lipa Vizuri ni kutokana na Profiti wanayo fanya na si vinginevyo , usitarajie wewe uajiliwe ulipwe pesa kubwa kisa wewe ni aseti na makampuni ya Mafuta Ulimwenguni ndo yanaongoza kwa kuwalipa watu pesa nyingi na hii ni kutokana na kumeki profiti kubwa, Ila hao wafanya kazi wanaolipwa pesa kubwa wako wapi? wao ni zaidi ya Kampuni?
Asikudanganye mtu, Wafanyakazi ndo wahanga wa kwanza pale inapo tokea mdololo wa Uchumi, au inapotokea mfumuko wa Bei
Mkuu twende pole pole na back to basics unataka kuniambia hakuna CEO anayepata pesa nyingi kuliko mgao wa shareholders ? au tuje kwenye mfano mdogo tu je timu ya mpira kama Barcelona (ambazo nyingi mwisho wa mwaka ni hasara kwa kwenda mbele) wamiliki wanapata pesa kuzidi Messi? au Abramavich anapata pesa nyingi kutoka Chelsea kuliko kitita alichokuwa anampa Lampard ? au hujawahi kusikia mtu ana duka lake anasema mwezi huu biashara imegoma kabisa yaani hata nimekopa ili kulipa watu mishahara ?
In short kama kampuni inapata gross 5x huenda 4x ndio expenses na 2x ni mshahara ambao 1x anachukua individual mmoja, na 1x inayobaki ndio profits ambayo mkigawana watu wawili unapata 0.5x sasa hapo mfanyakazi hajapata kuliko mmiliki kwenye hio above scenario?
Mkuu vyoyote vile Profit ndo inadetermin Mishahara ya hao wakina Mesi na si vinginevyo, bila kampuni kumeki profit hiyo mishahara ni hakuna, na kusema kwamba Mfanya kazi mmoja alipwe Robo tatu ya mapato ni kitu kisicho kuwepo, na ndo maana wale wakina mesi watapigwa mnada pale ambapo kampuni iatona kuendelea kuwalipa ni hasara kwa Kampuni, ila kwa sasa hata akilipwa sh ngapi bdo Revenue ya kilabu ni kubwa sana na hakuna madhara kwenye ustawi wa kampuni,
Wewe unazani kwa nini wakina Drogba walipigwa bei, ni baada ya kampuni kuona kuendelea kuwa nao ni hasara bila kujalisha kiwango,
google mahesabu ya makapuni mbalimbali ikiwemo hivuo vilabu uone, na usidhani matumizi ya makampuni yako kwenye mishahara tu, kuna Matumizi makubwa kuliko hata Mishara, Ishu kama Nishati, Bima,Kodi Ulinzi, Magari huwa na ghalama kubwa kuliko totola mishahara ya wafanya kazi wote
ndugu wages haiwezi kua profits ukioanza kuchanganya vitu namna hiyo haukawii kuharibu...profits ni za mwenye kitu either kuuza i.e trade business etc..wages is for employees so wages sio profit hata kidogo...depends.....
sometimes wages are guaranteed profits are not (you might get a loss)
So it depends my friend of what you are doing and howmuch is the return of your investment remember even in wages you invest your time and energy..., therefore we cant generalize one can be better at different senarios