Profile zetu hapa JF very interesting and confusing sana!

Tunabadilika kulingana na mazingira, zikija mada za magari wote tunasukuma LC, zikija kama za Tanesco ndio hivyo tupo migombani na milimani...
....jf yenyewe imeruhusu tutengeneze profile zetu vile tunataka.
Ukinyonga nao unafaida hasa kwenye kusaka watoto, vijana wengi hawajui hilo somo
 
Kabisa mkuu, umepewa nafasi ya kuwa chochote unachotaka!
Daaah, ngoja niombe msaada wa Ai kurekebisha profile.
Lazima niwe na private jet na bunduki.
 
Kusipokuwa na shida yoyote tuko Munich, Johannesburg, Paris, Washington, Miami, Florida nk.

Shida ikitokea tuko eneo la tukio, tena tunaripoti moja kwa moja.

Uskonde bwashee!
 
Mtu akiwa popote sioni tatizo, uzi wako unaonyesha ni jinsi gani wamatumbi wengi tunapata sukari tukisikia mwingine wapo nnje ya Tanzania na sisi tupo huko Karatu mashenzini tunatumikia tamisemi
 
Mtu akiwa popote sioni tatizo, uzi wako unaonyesha ni jinsi gani wamatumbi wengi tunapata sukari tukisikia mwingine wapo nnje ya Tanzania na sisi tupo huko Karatu mashenzini tunatumikia tamisemi
Nipo hapa Bulubulu-Karatu, tumbo limenisokota baada ya kusikia uko Marekani mangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…