Profile ya ex wangu baada ya kutumbuliwa utumishi hewa

Profile ya ex wangu baada ya kutumbuliwa utumishi hewa

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,271
Reaction score
13,428
IMG_20170501_071421_454.jpg
 
Ni kweli atayaweza yote kwa amtiaye nguvu.Yako mengi na yanamkuta yoyote yule.Usifurahie maana kuna leo na kesho....linaweza kukukuta zaidi ya hilo.
 
ghafla bin puh....kawa wa matopeni....msaidie...maisha nikusaidiana
 
Tusifurahie matatizo ya watu ,hakuwa anafuja alichokuwa anapata alaikuwa naasaidia ndugu,labsa na hata kusomesha....Huwez jua atafunguliwa mlango wa Pili
 
Back
Top Bottom