tufunge mjadala Dr Slaa ana PhD yake, kwazi kwao kwa wale wanaotungua Doctorate degree.
hapa kinachozungumziwa ni mustakabali wa nchi.
Tunaona wazi huyu Slaa Ilmu yake ina mushhkeri kidogo kwani inatambuliwa na kanisa pekee. Angukuwa amesomea kwenye vyuo vya umma basi tungeona ni jambo la kawaida kwani amekaa uswahilini na kuona watu wanaishi vipi. Yeye amekulia mazingira ya kiseja.Sasa kumpa uongozi wa nchi ataifanyia nini.
Ataleta amani kweli au ataleta vurugu kama Chadema?
Nina wasi wasi anaweza kuwa kama Rais Chiluba wa Zambia pale aliposema wazi kuwa Zambia ni taifa la Kikristo.
Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.
1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?
2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
hivi nyie watu mnajua mnachoandika au blah blah tu hapa...huyo rais wenu mwenye degree ya economics anayoshindwa kui apply na kusema East Africa itaunganisha masoko ya hisa....hahaaaaaaaa
acheni uzembe, Dr slaa ni dk kwelikweli.
pekueni tovuti ya bunge, pale kuna cv ya kila mbunge, achana na hizi zinazorushwa hapa jamvini, si wote wanaotumia mtandao huu wana nia njema na kila mtu
..Hii vipi Advanced Diploma to PhD??
Hivi kanisa catholic limeruhusu TALAKA siku hizi.
Vipi ile aya kwenye bible '' KILA KINACHOFUNGAMANISHWA NA MOLA MWANADAMU HAWEZI KUKITENGANISHA'' . imefanyiwa mabadiliko?
Kweli hiyo CV ndio iliyowekwa kwenye tovuti ya bunge. Hata mie sijaelewa elewa!Hii tumeitoa hapo.
Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz
sasa labda utueleze wapi kuna latest CV yake tuichambue.
yaani,we acha tu,
na ndie wanaesema anafaa kuwa rais wa nchi yetu,
siku zinavyoongezeka,ndo nazidi kuwa na doubts nyingi
kuhusu slaa.
Nadhani Magobe ametoa ufafanuzi wa kutosha kabisa kumaliza na kufunga mjadala huu, mwenye kuendelea labda lugha iliyotumika kwenye ufafanuzi nayo haipandi. Tujaribu kuwatuza wanaoifanyie nchi yetu mambo mema badala ya kuwasakama.Doctor of Philosophy (PhD)
Doctor of Philosophy, abbreviated PhD (also Ph.D.), for the Latin philosophiæ doctor, meaning "teacher of philosophy", or alternatively, DPhil,[1] Dr. phil.[2] or similar, for the equivalent doctor philosophiæ, is an advanced academic degree awarded by universities. In many English-speaking countries, the PhD is the highest degree one can earn [3] and applies to graduates in a wide array of disciplines in the sciences and humanities. The PhD or equivalent has become a requirement for a career as a university professor or researcher in most fields.
Kuhusu masters, ukiangalia kuanzia mwaka 1977-1981 kuna miaka mitano ukiunganisha na mwaka 1977, sasa hapo kuna niaka miwili ya masters na mitatu ya PHD, Kuhusu St, St, St, nadhani unaongelea vyuo vikuu, ni vyuo vikuu vya kawaida tu sema vinamilikiwa na Kanisa katoliki na hizi St, St, ni heshima ya hao wenye majina ambao majina yao yamewekwa kama usimamizi tu, ni majina kama uwanja wa Karume, Kaitaba au uwanja wa mwl Nyerere. Sidhani kama hadhi inashuka kwa kutumia majina yanayotanguliwa na St. Nimekumbuka ni kama St Augustine university of Tanzania( SAUT).wapi kafanya Post Graduate, Masters?
2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?
Labda wenzangu mnifafanulie kidogo kwa mtazamo wenu.
1. Dr W Slaa anafaa kuitwa Doctor.
wapi kafanya Post Graduate, Masters?
2. najua bila kuna wengi sana humu wa CHADEMA labda wamfikishie ujumbe huu kuwa Utafiti wake katika PhD alifanya khusu nini?
3.mnazionaje hizi degree za st.st.st?