Profile ya Dr Slaa

Status
Not open for further replies.
Mnazungusha zungusha na kupaka rangi ili ipendeze lakiini hakuna kitu certificate will remain to be certificate tu.

U Dr wa Slaa ni sawa na wa Dr Remmy, Dr Cheni, Nchimbi, Kamala, Nagu nk
Mmesha nusa harafu ya mavi kama mbwa koko. Mtayafukuzia weee na mtakula patupu hapo! You Devil and haters!
 
Mnazungusha zungusha na kupaka rangi ili ipendeze lakiini hakuna kitu certificate will remain to be certificate tu.

U Dr wa Slaa ni sawa na wa Dr Remmy, Dr Cheni, Nchimbi, Kamala, Nagu nk

Hujui systerm ya elimu ya seminary na utaki kujua kuwa hujui hii ni hatary!
 
Mmmh kumbe "udaktari wa falsafa" tunaupenda wengi.......eeh ndo maana yake tutaupataje ubunge, uwaziri.................
 
Akiwa kamala mhhh sawa ana DR feki, akiwa Slaa ni sawa, oh mara anaya seminari...basi from certificate to doctorate HII KALI.

IN SHORT SLAA HANA UDOKTA WOWOTE, NA KUANZIA LEO NAMWITA SLAA.
 
Kama ni kweli basi ni aibu sana kwa huyu baba!!! Yaani sikuz ote hizi alishindwa kukanusha hadi leo??

I hope atakuja kujisafisha humu la sivyo ni aibu ya mwaka
 
..kuhusu masuala ya vyeti vyake labda ni vizuri tukajifunza mfumo wa elimu wa Kanisa Katoliki. lakini so far mchango wa Slaa ktk medani ya siasa unaonyesha kwamba uwezo anao.

..kwa jinsi anavyojenga hoja bungeni, hata angekuwa na elimu ya 'ngumbaru' bado ningempa nafasi kubwa zaidi.


NB:

..Prof.Mwandosya naye alichukua PhD bila kufanya Masters.
 
Kama ni kweli basi ni aibu sana kwa huyu baba!!! Yaani sikuz ote hizi alishindwa kukanusha hadi leo??

I hope atakuja kujisafisha humu la sivyo ni aibu ya mwaka
Mkuu wangu MTM, watanzania waone hivihivi...huyu jamaa hata kama kapitia hiyo system ya semnari, me sijaelewa from certificate mpaka u doctorate.mmmh
 

Ni sawa kuhusu elimu ya katoliki, lakini kama hana PhD hasatahili kuwa Dr. sasa na wakristu wengine? waislamu je? wahindu je? Kama hana PhD basi yeye siyo Dr. Tena aje atusaidie tubaki na imani naye

Hilo la hoja bungeni, ni sawa lakini sio lazima uwe Dr. Ndio uheshimike kwa kutoa hoja bungeni...


NB:

..Prof.Mwandosya naye alichukua PhD bila kufanya Masters.

Hii ni kawaida kwa elimu ya juu zaidi, unaweza ukaanza na Mphil ukamalizia PhD, sio ajabu mkuu
 
mkuu wangu mtm, watanzania waone hivihivi...huyu jamaa hata kama kapitia hiyo system ya semnari, me sijaelewa from certificate mpaka u doctorate.mmmh

yule castor semenya mwanariadha wa kike wa afrika kusini aliyepata gold medal katika mbio za mita 800 anayedhaniwa kuwa na jinsia mbili una uhusiano nae?
 
Hata wewe uliyejaribu kuelezea elimu za philosophy na theology umekosea. Baada ya Form 6 unafanya 2 years Philosophy, na kwa wenzetu wanailinganisha elimu hii sawa na DIPLOMA, na mwenye nayo ana hiari ya kufanya mwaka moja zaidi apate degree, ila ni lazima uende nje, bongo hakuna. Halafu inafuata miaka 4 ya theology hii inalinganishwa zaidi na Bachelors Degree ninavyokumbuka(pengine nicheki) lakini ni kisomo tosha kabisa, masomo yao mhhhhh

Kule kwingine waweza kufanya Bachelors kwa walau 3 years halafu ukaenda for PhD, MASTERS sio muhimu kama alivyokwisha sema mtu mwingine

Lakini yote haya kwa nini? umewahi kumsikia anazungumza kama hajaona darasa?
 
Semenya,MTM,

..nimeona kwamba baada ya A-Level, Slaa amesoma miaka 4[kibosho + kipalapala] na kutunukiwa Certificates. sijui wewe hilo unalichukulia vipi.

..kwa nchi kama UK, vipo vyuo vinatoa 1st degree na masters kwa miaka 4.

..nadhani tunachopaswa kuangalia hapa ni kama within Catholic Church, Slaa anatambulika kama Dr of Phylosophy. baada ya hapo tunaweza ku-cross check kama kweli course work yako was rigorous enough kuweza kutambuliwa kama Dr huku mitaani.
 
yes hiyo inawezekana kuwa na PHD withoutmasters, na maranyingi wakiona umefanya masters vizuri wanakurusha uandike thesis ya Phd. Mfumo huo ulikuepo sana zamani ila sasa naona umekufa.

kuhusu slaa degree anayo?ya wapi?kama ipo.
 


Miafrika ndivyo ilivyo iliambiwa lazima iwe midoctor, au iwe na elimu ya ulaya ndio iongoze nchi. Mbona Kikwete ni doktar hata Mugabe naye ana madigrii kama utitiri lakini yote imefeli kuongoza imetawaliwa na Mafisadi vichwani mwao na tamaa ya mitumbo yao. Hii yote janja ya nyau tikisa makia maana Slaa kawashika pabaya.

Sasa Barubaru sijui kiberiti tuwekee CV ya kwako tuione.
 
Barubaru,MTM,Semenya,

..search ya wikipedia inatoa mwangaza kidogo kuhusu vyeti vya Dr.Slaa.

..hata sijui kwanini mtoa hoja hakujisumbua kwenda huko kabla ya kuja na hoja yake hapa.

..pia napenda kujua hadhi ya hizi seminari za Kipalapala na Kibosho within Catholic Educational System.


 
Ha ha ha,
No one hate slaa hapa...tunaongelea tafiti zake...what is wrong kama amefanya tafiti za kuongoza kanisa katoliki?

What is wrong kama amefanya tafiti zake kuhusu historia ya wakatoliki?

You got to differentiate hate and facts ..those are facts...
 

Jokakuu, this is JF, i love it for this very reason... sasa moyo wangu swafi na hoja imeshakosa mashiko!!!

Nashukuru haikuhitaji Slaa kuja kukamilisha haya... Thanks a milion

Ila kuna mchangiaji mmoja anaomba Barubaru ampe CV yake, labda kwa kumsaidia tu ni kwamba Barubaru alishatoa wasifu wake humu na ana PhD

Mtoa mada!!! what was the motive?
 
MTM,

..mtoa mada, Barubaru, amedai anamfahamu vizuri Mh.Mustafa Mkullo. anadai waliwahi kufanya kazi pamoja.

..binafsi namshauri Barubaru akamhoji Mh.Mkullo jinsi alivyopata ile MBA toka chuo kikuu feki.

..kwa wakati huu, tutakuwa tumetumia muda wetu vizuri tukiwaandama watu kama Mkullo,Nagu,..ambao tayari wako kwenye system.
 
Hata me mepekua mejiridhisha.................Ntamuita Dr Slaaa kama zamani. for a second nililitoa.....hilo jina la Dr...so akina Nchimbi et al kazi kwao.
 
mmh... usilolijua ni kama usiku wa kiza. Mojawapo ya mambo ambayo waseminari wamekuwa wakiyalalamikia sana hasa kwa TAnzania ni kuwa mapadre wanapomaliza hawatunukiwi shahada kama zilivyo seminari za nchi nyingine kwani elimu wanayotoa ni ya Juu.

Kwa marekani, mseminari anapata shahada ya kwanza ya Filosofia na shahada ya kwanza ya Teolojia ndipo anapadrishwa. Kwa kisomo hicho hicho seminari za Tanzania zinampatia Diploma!

Matokeo yake, mtu huo wa Tanzania akiamua kujiunga Chuo Kikuu cha Marekani au Uingereza anaweza kwenda moja kwa moja Uzamili au Uzamivu! Wao Wamarekani wanatambua elimu ya Seminary kama elimu ya Chuo Kikuu.

Tatizo lilikuwa linakuja pale kijana anapoachia katikati akiwa seminari na kujikuta amepoteza miaka sita au saba bila ya shahada yoyote!

Wakati umefika kwa seminari za Kikatoliki to catch up to the rest of the world kwa kuwapatia wanafunzi wake alama za elimu zinazotambulikana duniani. Kwa mfano waseminari karibu wote hujifunza mambo ya biashara na elimu nyingine mbalimbali bila kutunukiwa vyeti hivyo hadi pale wanapoenda nje ya nchi.

Hata Makumira nadhani wanafanya vizuri zaidi kwani wao hutoa shahada za Theolojia kwa waseminari wao pale.
 
kweli watu hawafanyi homework.
Kwanza kabisa kabla hata hamjaquestion validity ya kisomo cha Dr. Slaa, labda mjiulize kwanini seminary siku zote zinafunika shule za serikali katika quality ya kisomo? Ukweli ni kwamba wakatoliki kwenye kisomo (nikimaanisha shule zinazosimamiwa na kanisa) hawabeep.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…