Profile Matata ya JF!

Kwa chai ya mkandaa na kaimati za zafarani 😀

aaah chai inafungwa mkanda tena?? mweeeh!!

kalimati nazipenda Gee!!! St Constatine zilikuwepo?...lol!!
 
mashallah vitu laini laini kashata za chicha, ufuta...eeeh!!
aisee ngubiti wee acha tu, Preta angekua hapa angenisaidia.
nilikuwa nikila baadae kichwa kinauma...lol
Chezeiya Ngubiti wewe eeh?... Ukicheza zinakung'oa meno ati..lol
 
aisee yale makitu yalikuwa magumu bana, unakuta vitoto vimekula shati lote guru tupu...lol!!!
 
aaah chai inafungwa mkanda tena?? mweeeh!!

kalimati nazipenda Gee!!! St Constatine zilikuwepo?...lol!!
Bee St Constatine wanakunywa chai na cake za sunkist lol. Watazijulia wapi kalimati za uswazini?
 
Hahahaha duh yaani umezieleza kaa maziona hivi. Za kijani na nyengine nyekundu! Hehehe
Mwisho machicha unatema unatupa
 
naipenda sana ya kwangu,
tena naipenda kweli kweli.
 
aisee yale makitu yalikuwa magumu bana, unakuta vitoto vimekula shati lote guru tupu...lol!!!
Lol...afu zinanataje kwenye mikono?...sijui zilikuwa zinakaushwa na moto wa kuni?... Ukitafuna zinalia ngub, ngub, ngub... Afu ukinunua unamng'atia mwenzio kwe meno, unamtemea...daaah! Tumetoka mbali jamani, zama za kale za mawe khaaa!
 
PJ umempa vidonge vyake yaani umemshana live.
akimeza akiamua kutema ni shauri zake ila habari ndo hiyo.
 
Bee St Constatine wanakunywa chai na cake za sunkist lol. Watazijulia wapi kalimati za uswazini?

shule yao walikuwa na huduma ya fresh delivery toka sunkist, sisi tulibaki kuambulia mikate ya 'mayai'...lol eti kisa ya njano!!!
 
Lol...afu zinanataje kwenye mikono?...sijui zilikuwa zinakaushwa na moto wa kuni?... Ukitafuna zinalia ngub, ngub, ngub... Afu ukinunua unamng'atia mwenzio kwe meno, unamtemea...daaah! Tumetoka mbali jamani, zama za kale za mawe khaaa!

hahahahaaaaaaa yewomiiii yaani wewe leo duuh!!! hiyo ngub ngub si ndo maana zikapewa hilo jina la ngubiti!!
mnato wake ulikuwa una kera halafu

Hivi sasa sitaki hata kuziona mimi, nimehamia kwenye kashata na visheti na ufuta...lol!!!
 
aaah chai inafungwa mkanda tena?? mweeeh!!

kalimati nazipenda Gee!!! St Constatine zilikuwepo?...lol!!

Subiri Boss aje akwambie chai inafungwaje mkanda!

Nyie watu baada ya kula gubiti kwa cat fights lazma mtishe!! Hahaha
 
shule yao walikuwa na huduma ya fresh delivery toka sunkist, sisi tulibaki kuambulia mikate ya 'mayai'...lol eti kisa ya njano!!!

Muffins with cream! Hehehe
 
Subiri Boss aje akwambie chai inafungwaje mkanda!

Nyie watu baada ya kula gubiti kwa cat fights lazma mtishe!! Hahaha

Bosi wa ocean road eeh, poa!
Utashangaa na hizo catfights zenyewe, usiombe kushuhudia...lol
 
Hahaha @ Boss wa Ocean Road

Meno yanakuwa yeshawekwa makali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…