Profile la kijana mkataa ndoa

Hahaha asee
 
Mapimbi ya Ndoa kwenye ubora wao.

ACHANA NAO.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Tukisema ndoa inapovunjika sheria za kugawana mali, child support na divorce alimony ziondolewe. Vile vile upimaji wa DNA uwe mandatory kisheria mtoto anapozaliwa tu, wanawake wanapinga

Halafu mapimbi katika ubora wao bado wana-support ndoa
 
Ulikuwa na hoja
 
Issue siyo kujibu hoja generally, lazima ujibu hoja kwa data
 
Hawatakubali. Kuna watu msiba wa wengi kwao ni sherehe!.
Hawa ni wa kuwazoea tu.

Sarakasi zinazoendelea kwenye Ndoa nyingi za siku hizi zinazidi kuzaa 'Kataa Ndoa' wengi zaidi
 
Teh..teh..ni mtazamo tu, tusitumie hasira.
Moto uleule unaochoma nyumba ndiyo unapika chakula
"nguvu wanayoitumia kuchukia ndiyo tunayoitumia kupenda"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…