Professor Muhongo aionya serikali

Kwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu

Hakika tutaipata. Mimi nabadili uraia Singasinga tumelipa hela za watu, wenyewe wanatudai. Sasa tena tumeiba makinia ya watu nao tuwalipe! Hiyo kodi si tutavunja migongo? Nahama.
 
Ukweli mimi nina Tatizo moja ukishakuwa mwanasiasa tu hasa CCM napata shida sana kushawishi moyo wangu ukubali anayoyasema.

Huwa siwamin kabisa wanasiasa
 
je alitoa ushauri sahihi kwa wakati sahihi??

maana isijekuwa anakaa kimya tu halafu anakuja andika twitter
Anajua anachozungumza, usidhani amekurupuka. Kaa uyatafakari hayo maneno, utaelewa kitu
 
Natamaani mtu aingie pale Magogoni amkurupue Ngosha kwenye blanketi, amwambie kuwa wamiliki wa Acacia wameshakuwa viongozi wa nchi tatu ndani ya G7.
Yaani ni vile tu sijui kisukuma , huyo mtu amwambie Ngosha kuwa G7 zinamiliki zaidi ya asilimia hamsini za uchumi wa dunia hii.

Tena amwambie, G7 inakutana keshokutwa Italy kujadili mambo matatu na Biashara za kimataifa na uwekezaji ukiwemo.
Alafu akimaliza amwambie kuwa uchawi hauendagi Ulaya.
 
Huu uwaziri huwa wanapewa tena bila hata kuomba; lakini wakitolewa wanalaumu!
Ningekuwa Mimi kwenye midia ningewambia tu aliyenipa kauchukuwa kama alivyonipa: tunafunga mjadala; na hasa nikijua cna kosa
 
Vitisho havisaidii haya madini ni yetu wao walikuja na briefcase tu.
 
Aliyekudanganya nani kuwa uchawi hauendi ulaya
 
Binafsi ktk watu nilikuwa na shaka nao na siwaamini nchi hii ni huyu
 

Genetically we are all homo-sapiens but we differ in acquired attitudes (phenotipics). Politicians are mentored. few were trained and afew are born leaders.

Rais wa Marekani ni wa 46? still USA remain strong and one. Even Ministers in MoME will come and go, yet life goes.
 
Usiwe mwoga
 
Muhongo mwaga mboga mkuu , kama kunuka kinuke tu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…