Thubo wewe unaamini Muhongo kasema hayo kwa kiingereza kibovu hichoHuyu ndiye alikua waziri wa madini kabisaaa!!! hayo maneno alitakiwa kuyasema chizi,tumia usomi wako kuitetea nchi yako kwa vyovyote vile hata kama inakosea sema isahihishe na sio kuwa mshauri wa vitisho tu,mwanzon nilidhani kaonewa kumbe mkuu alikua sahihi
Njoo nikupime hayo masaburi yako ili nijue kama utahimili mpinimnahitaji kupimwa siyo bure ninyi watu
Bora tu Professor ungebaki Chuo Kikuu kutoa Elimu kuliko kujihusisha na siasa. Ona unavyoumizwa kila mara na siasa uliyochagua! Mimi ninakukubali sana hasa kwenye REA. Siasa haina shukrani utachafuka tuu!
Unajua katika kujibu kuna mawili,kwanza kujibu ulichokiona,pili kujibu ulichokiangalia,, kuamini au kutoamini ni matter ya chance and choice tuThubo wewe unaamini Muhongo kasema hayo kwa kiingereza kibovu hicho
Anachonikera huyu jamaa ni kila pale anaponasihiwa juu ya kiburi chake hujitetea kwa kuringishia elimu yake utadhani amesomea mbinguni..yeye mpuuzi sana, asimtishe rais kwa maneno ya kijinga, kwa hili tuko pamoja na rais, kama alitumiwa na hao kupe awaambie "ngosha" kabana
Ngoja Dr Mengi asikie huo upuuzi wako. Umekuwa ukitetea wanyonyaji wa kizungu toka mwanzoAliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Wawekezaji ni matapeli na wezi .Ni kama majizi mengine tu, may be I can call them "white collar thieves."Kwa sababu hiyo, mimi sipendi kabisa neno "muwekezaji." Linaficha ukweli wa hawa watu.Aliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yataYbkayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Alichoandika sawa, lakini kaandikakama kalewa.
Kayasema wapi haya au ndo mnatengeneza yenuAliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Waziri anapaswa kujua Nani anakwibanani aliyekuwa anakuibia?
Huyu si ndie alimtonya yule mkuu wa kitengo cha mizani kule bandarini kuwa wakubwa wanakuja kwa hiyo arekebishe mambo,haiwezekani kila mara awe yeye tu.Muhongo ni muongo kweli ,alipoteuliwa kwa mara ya pili kwenda wizara ileile wengi walipinga ,na sasa matokeo yake sote tumeyaona,kumbadili tabia mtu mzima ni sawa na kumtaka kumkunja kambale mkavuAliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Hawa ndo wanatakiwa wakabidhiwe kwa makonda awatandike sasa maneno gan ya vitisho kwa mukulu haya we unamtisha mzee mwwny jeshi?
Ni kweli wahadhiri wamejifedhehesha sana na usomi wao ,wamepewa nafasi na mh raisi na wameshindwa kuitumia inaonekana usomi wao na vitendo vyao ni kitu tofauti,sana sana wanawaza kamhogo kao.Kuongoza ni kitu tofauti na usomi hasa huu usomi wa kinadharia,naamini mh raisi sasa itabidi abadili mtazamo wa kuwaona wasomi kama peke yao ndio wanaweza kuongozaRais Dr. Magufuli, utakumbukwa kwa mengi mazuri sana unayoyatenda kwa nchi yetu Tanzania.
Kwanza, ni kuwapa nafasi wasomi yaani wahadhiri nafasi ila Wengi wao wameonesha usomi wa makaratasi na siyo utendaji.
Pili, rais umekuwa na uzalendo wa dhati kwa nchi hii na watu wake.
Ombi na pendekezo langu, awamu ya pili ya uongozi wako hapo 2020, napendekeza tuondolee wahadhiri wote kwenye Baraza lako la mawaziri, na kwenye wizara zote maana wameonesha udhaifu mkubwa sana.
Maana hii awamu ya tano, imewavua nguo wasomi Wengi sana hasa wahadhiri wenye elimu ya ngazi ya uzamivu /PhD na maprofessa kwa utendaji uchwara na ubabaishaji mwingi.
Wahadhiri waendelee kufundisha vyuoni ila watumike Kama washauri na watafiti wa mambo mbalimbali.
Vinginevyo, wawe wanafanyiwa usahili kabla ya kupewa nafasi hizo ili kujihakikishia kuwa wanauwezo wa Kiutendaji.
Maana, sisi tusiofanya kazi kwenye tasinia ya vyuoni tunashangaa maajabu na madudu ya hao wasomi mfano wa akina Muhongo.
Kila la kheri JPM, together we shall win the battle!!