HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
Hivi yeye na hao wapambe wake na wasaidizi wake wameona ubaya gani kumpa TSHIRT ya TTCL au shirika lolote la umma ambalo linatoa ajira kwa watanzania na lipoa kodi nchi hii?
Lakini msishangae sana kwa sababu waziri mkuu wake kazi yake ni kutangaza kampuni ya pombe ya KENYA!!!
Hawa ndio viongozi wetu ambao kila kukicha wanatuambia tuwe wazalendo na tuipende nchi yetu
Wito kwa jamiiforums, tengenezi TSHIRT nzuri (sio cheap quality kama za dewji) kisha mpelekeeni JF kama kweli anataka kusapoti kampuni changa za hapa nchini.

![unnamed%2B(55).jpg](/proxy.php?image=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-5ipBPksCRwc%2FVINKcwUkM2I%2FAAAAAAAG1o8%2FZYGiU5e7jx0%2Fs1600%2Funnamed%252B%2855%29.jpg&hash=d986a7d81ec88ee7ffe928b73722fdf9)