Professor Emeritus - UDSM

1. labda mabele kadeliva kabrasha la kilimo kwanza
2. webu ya ud iko juu, prospektasi inapatikana online
3. vigezo vya ud vinatisha ndio maana emeritus 1 tu.
 
Ubingwa wa kwenye makaratasi tu.....zaidi ya hapo hana tofauti na Miafrika mingine kama mimi na labda wewe (maana sijui kama wewe ni liafrika kama mimi)

Nyani Ngabu:

You real made my day:

Hii definition yako ya Prof Emeritus does not need any review at least in the next 25 years to come!
 

Yaani kama hizo ndo criteria za kuitwa Prof. Emeritus basi pale Mlimani wapo wa kutosha. (i must admit sikujua maana ya Prof. emeritus thinking kuwa in American equivalent of distinguished prof.). Kwa faculty of Law UDSM nawaona wa kutosha: Kanywanywi, Mwaikusa (R.I.P), Fimbo, Costa Ricky Mahalu, Shivji, Yash Pal Ghai, Prof. R.W. James.
 

Kanywanyi - probably
Costa Mahalu - hell to the no (fisadi atakuwaje prof. emeritus?). Kwanza muda mwingi hajatumia kufundisha darasani.
Mwaikusa - not yet
Chris Maina Peter - probably
Hao wengine I have no idea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…