Professor Assad Asimulia alipokuwa

Assad: aah mi nilikua tu kwenye shughuli zangu binafsi za kiimani..SIKUTEKWA JAMANI!
Mashabiki wa siasa: HAMNA ULITEKWA MZEE...we kubali tu si tusionekane tulikosea bana.ULITEKWA!
 
Assad: aah mi nilikua tu kwenye shughuli zangu binafsi za kiimani..SIKUTEKWA JAMANI!
Mashabiki wa siasa: HAMNA ULITEKWA MZEE...we kubali tu si tusionekane tulikosea bana.ULITEKWA!
Bhahahahahahahaaa......
 
Badala ya kuomba radhi, anaendelea kudanganya eti kelele zetu ndio zimewafanya waliomteka wamuachie huru.
Huyo ndio mtu anayepambana kutuongoza. Atatupeleka wapi sasa kama ni mfitini na muongo kiasi hicho?
Bhahahahahaaa
 
Back
Top Bottom