PROFESSOR Anatafuta Kazi

PROFESSOR Anatafuta Kazi

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Nina baba yangu mdogo ni Professor, amestaafu pale UDSM ni Professor alikuwa anafundisha POLITICAL SCIENCE.

Baada ya kustaafu amepewa mkataba wa miaka miwili ambapo anakuwa akifanya kazi kama part time hivyo muda mwingi anakuwa free, hivyo anahitaji kazi ya kumuweka busy.

Endapo unafaham international organization yeyote ile iwe ya kiserikali au isiyo ya kiserikali ambayo wanaweza kumchukua toa suggestion then mimi nitamfahamisha wakuu.

Asanteni
 
Da supu ya mawe unaposti sana leo, usijali mwambie aende kwenye vyuo kama Tumaini NA VINGINE BINAFSI HAWEZI KOSA KAZI UKO.
 
Leta jina PM tujue profile yake halafu luanze kupewa michongo, baada ya kufukuzwa kazi ndo unaanza kuvamia jukwaa kwa nguvu eeh?? kile kipigo cha jana kimepona??
 
Professor unastaafu then unahangaika na vikazi vya nini? kwanini usitulie ule .pension
 
Yaani huyo Prof hajui wapi kuna nafasi mpaka umsaidie?
 
ukiona hivyo hali tete, mkaribishe Mpuguso Mbeya huko :smile-big:

Ajeeee tulime matoke tuuze parachichi hivi hao walioshi 70years nje ya ajira bila kusoma inakuaje? Elimu yetu inatufanya tuwe watumwa
 
Huyo atakuwa Profesa Maji Marefu style, haiwezekani? Anatafutiwa michongo na mjukuu!!!
 
naona id yako mpya unaitafutia kike kweli ile nyingine bado imepigwa pini?
 
huyu profo vipi hao anao wafundisha anataka wapate kazi wap umri ushapita huo.achia vijana wapige kazi
 
Kweli msako umebadilika,sungura nae anafukuza mbwa.Leo Professor nae anatafuta kazi.Mshauri Mzee afanye tu hiyo ya mda aloipata,awaachie vijana wafanye kazi.
 
Back
Top Bottom